Baba JPM hajafa ila amelala ufunguzi wa ikulu leo alikuwepo japo hakuongea😭🤐

Baba JPM hajafa ila amelala ufunguzi wa ikulu leo alikuwepo japo hakuongea😭🤐

CHEKIBOBU KIKWETE namsubiri nione ataishia wapi.

Nikimuangalia usoni naona kama amechanganyikiwa, ana hofu, amejaa ajenda-mficho na udanganyifu.

Let's hope i am wrong.
Unamsubiri ataishia wapi! Kwani ww na JK nani atatangulia kuondoka?
 
Chuki zako za kipumbavu zitakupa sonona wewe. Mbona mnamwandama hivyo JK? Wakati ni rais mpole, diplomatic na mpenda watu. Kama mnalilia kutajwa jina, mkimtaja ninyi inatosha. Nyerere na Mkapa wameifanyia mangapi nchi hii? Mbona hatujaona kasumba yenu hii ya kupandikiza chuki, ukabila na migawanyiko ikiwahusisha?
Akili zoko mbovu huyo ni muhuni wa taifa maelfu ya vijana wa tz wameuliwa na huyo ..kwa madawa ya kulevya ...huyo ni member wa genge la wauza ngada duniani linalo tumia njia za kupandikiza viongozi serikalini hasa kwa nchi masikini ili kufanikisha biashara zao
 
Marais waisiharamu ndiyo wabovu hapa tz wewe chunguza tu ni maraisi gani wanalamba makario ya wazungu na waarabu hapa tz
 
[emoji28][emoji28] we lipumbavu sana, alafu mkiambiwa vyeti feki mnakataa ona ulivyo andika, ivi unajua hiyo 12" down maanayake nini?.
Humjui mwenye cheti feki wewe! Muulize Ben sa8. Usijizime data, cheti feki keshaozeana huko Chato na liPhd feki lake
 
Baada ya wafuasi wa Kibwetere na wafuasi wa yule mchungaji wa Kenya waliofungishwa Hadi kufa, wanaofuatia kwa ujinga ni wafuasi na watetea rigasi wa jiwe. Kwanini mmeanzisha dhehebu la kijinga hivi?

Magufuli aliingia kwenye uongozi kwa ghafla na ameondoka kwa ghafla na atasahaulika kwa ghafla vilevile. Fanyeni mengine haya ya rigasi yanatuchosha asee.

By the way, jana haikuwa sherehe za ufunguzi wa kuhamia Dodoma bali ufunguzi wa Ikulu ambayo definitely haikujengwa na JPM. Tukifanya ufunguzi wa kuhamia Dodoma bila shaka tutamtaja. Full stop.
Waanzishe kanisa lao tu
 
Haaa wapi wahuni kwisha habari yenu kwa sasa hivi watz wameamka baada ya kushuhudia huu upumbavu toka kifo cha jpm
Maisha ss hv ni vicheko tu bongo bila ya shetani lenu
 
Akili zoko mbovu huyo ni muhuni wa taifa maelfu ya vijana wa tz wameuliwa na huyo ..kwa madawa ya kulevya ...huyo ni member wa genge la wauza ngada duniani linalo tumia njia za kupandikiza viongozi serikalini hasa kwa nchi masikini ili kufanikisha biashara zao
Chuki zako kwake hazimpunguzii chochote.
Anazidi kunawiri tu.
 
Akili zoko mbovu huyo ni muhuni wa taifa maelfu ya vijana wa tz wameuliwa na huyo ..kwa madawa ya kulevya ...huyo ni member wa genge la wauza ngada duniani linalo tumia njia za kupandikiza viongozi serikalini hasa kwa nchi masikini ili kufanikisha biashara zao
Chuki tu hizo.
 
Tena kwa chuki hizi jihesabu mgonjwa wa sonona muda si mrefu. Jk ni gentleman bora kabisa na atasalia kuwa hivyo despite chuki zenu.
 
Moyo umesinjaa kwa kile nimekiona leo ktk ufunguzi wa Majengo ya ikulu Dodoma.

Nawaza najiuliza na sipati majibu. Nimeenda mbali zaidi nikasema hata kama hatuamini juu ya uwepo wa Dunia nyingine tusio iyona watu wa siri mlishimdwa hata wauliza Mashekh juu ya elimu Dunia? Mh nadhani Kuna jambo serikali na chama wanalitafuta na JPM ndio anaenda kukamilisha jambo Hilo kwa kosa dogo sana. Kudhani Alisha lala na kwakuwa amelala "wema hawafi ila wabaya wanakufa" msemo ambao kinadharia ktk kiswahili chetu alie tumia msemo huu alitumia kuutweza utu wa mtu akijuwa kabisa maana ya neno hili sio vile aliwaza au aliteleza nani ajuwaye ila wakati utajibu.

Ndugu zangu wana ccm wachache naomba niwakumbushe jambo JPM hajafa JPM amelala na siku zijazo mziki utakuwa mzito kama ule mziki uliwakuta watu wa Zambia dhidi ya Kaunda. Sitaki kusema wala kuongea sana ila Zambia kaunda aliwatoa kamasi tena wakati akiwa hai sio amekufa.

Sitaki kuandika sana ila Chiluba alipo shika Nchi akaona yeye ndio Rais. Na kazi ni moja kufukua makaburi pasipo kukumbuka Mzee wa watu ame pambana sana kuifikisha Zambia pale ilifika wakamsweka ndani. Hayati Baba wa Taifa akaenda kumtoa kwa amri moja tu Chiluba mtoe huyo Mzee ndani. Mwisho wakunukuu. Sote tunajuwa Chiluba yalio mkuta na Yale yali ikuta Zambia baada ya mchezo wa hatari waliucheza.

Zambia ilikuwa haipoi mpaka pale waliposhituka nakuanza mpa heshima yake Mzee Kaunda ndipo Zambia ilipoa na maisha yakaendelea. Hakuna kiongozi alimgusa Kaunda alitoboa😭🤐. Nenda kasome History.

Naona dhambi ile ile walifanya wana siasa wa Zambia sasa CCM mnaifanya tena kwa kada mwenzenu mkijuwa kabisa what is the top secret 🤐😭🤐. Hongereni mmeweza.
Mmeachia watu tena makada wamseme vibaya na kumsuta usiku na mchana ila nyuma ya pazia mnaujuwa ukweli tena ukweli mchungu. Mbaya mnahangaika kumfuta hata ktk kazi amezifanya kwa ujasiri na moyo wa Imani kwa Taifa lake. Dam,machozi na kifo chake mnacho kuona kuwa ni sherehe nataka niwahakikishie juwa halito chomoza kabla hajasikia jogoo akilia mara tatu kama sio nne na mtakapo kumbuka itakuwa imekwisha.

Nawakumbusha chuki na maneno ya Hila kuidhoofisha nyota ya Rais huyu vitakuwa huzuni na mateso kwa chama maana hajafa na kamwe hamuwezi kumzika maana ameifia Imani ya chama chake kama kweli tulitaka mtu atakae nyoosha barabara.

Angalieni alama za nyakati, angalie aina ya nyakati tunaishi mkatubu na kumuomba radhi akiwa bado hajagairi Taifa hili mtaliacha na ukiwa. Ona kile kina enda tokea siku sio nyingi. Ona kile kinaenda wakumba wale wamedhani unaweza taka jina la mtu na kumkebei just amekufa hakuna wakumfanya kitu.

Mpoto umeimba wimbo mzuri ila umeifuta history ya Magufuli wewe Mpoto soma hii thread utajuwa hujuwi kumbe hata wewe? JPM anasema Asante

Msemaji wa Ikulu nimeona video nzuri ya ujenzi wa ikulu na history yake ila umefunga macho nakufunika Ukweli hukumtaja Magufuli hata sehem moja JPM anasema hajafa mawe na Ardhi ya Dodoma mahali ikulu ilijengwa yatajitangaza yenyewe wakati upepo unavuna ila Wewe jiulize Nani atakutangaza.

Mzee JK kweli Mzee wangu kweli hata wewe umesema serikali ya awamu ya Tano hukumtaja Magufuli. JPM anasema Asante sana yupo anaangalia mwisho utakavyokua.

Mh Mpango najuwa huzuni na mengi yalikupata ukasema hili nifahari yenu wa Tanzania. JPM anasema Asante ila anakukumbusha usisahau kile alikwambia ktk vikao. Yeye yupo anaangalia kile kinaendelea anasema usijali anakuombea malaika wa Mungu wakulinde.

JPM hajafa anashukuru kwa yote Mke wake alimuakilisha anasema Mama Janet uwe na moyo mkuu maana baada ya Maria Nyerere wewe ndio utakuwa Maria Nyerere wa kizazi cha sasa. Anasema usiogope na uzidi kumuomba Mungu na Yeye anakuombea. Amen.

Mh Baba Pengo nashukuru kwa kuitetea Imani nakukataa dhuluma juu ya haki. JPM anashukuru kwa kusimamia ukweli na hata kumtembelea kwenye nyumba yake ya milele. Anasema amefarijika sana. Anasema hata kama leo hamkuwepo ila amewaelewa na ana amani kubwa sana.

JPM anawakumbusha wa Tz kuwa bado hamjamkumbuka ila mtamkumbuka kwa machozi na maombolezo na vilio siku zijazo na ndipo mtakumbuka maneno yake. JPM anasema msihangaike kumtetea ila atajitetea na Mungu wake. Leo hakuongea ila mawe yataongea na watu wenye napenzi mema na Taifa wataongea wapo walio hata Susa kwenda kufungua ila anasema watashindana na wanadam ila sio Mungu. Hakuomba kufa mapema ila Mungu alimpenda zaid kazi kwao wanao mnanga na kumsuta je wataondokaje maana yeye ameumaliza mwendo kwa amani. Amen.
Mbona unateseka sana tatizo nini? Au zile ramli Kwa Sasa hasifanyi kazi?
 
Mbona kikwete, alimtaja magufuli, na akasema magufuli ndio alifanya msukumo mkubwa katika ujenzi wa ikulu kuliko wao waliopita, mtoa mada atakua na shida zake.
 
Katika hotuba yake Rais Samia kamtaja mara kadhaa na kuelezea vizuri mchango wake, na kuhitimisha kwa mumwombea raha ya milele na pumziko la amani.
Sa watu wanalalamika nini,Yani wanatakaje? Mi nilijua hajatajwa kabisa huko maana sijafuatilia..
Ila wabongo walitakaje kwani?
 
Akili zoko mbovu huyo ni muhuni wa taifa maelfu ya vijana wa tz wameuliwa na huyo ..kwa madawa ya kulevya ...huyo ni member wa genge la wauza ngada duniani linalo tumia njia za kupandikiza viongozi serikalini hasa kwa nchi masikini ili kufanikisha biashara zao
Tangu umepata shavu kwenye ule mradi wa Bashe hapo Dodoma umeongeza kasi ya ku chat
 
Tena kwa chuki hizi jihesabu mgonjwa wa sonona muda si mrefu. Jk ni gentleman bora kabisa na atasalia kuwa hivyo despite chuki zenu.
Nyie endeleeni na biashara yenu ya kuuza ngada tu na kuua tembo weru
 
Back
Top Bottom