Baba JPM hajafa ila amelala ufunguzi wa ikulu leo alikuwepo japo hakuongea😭🤐

Acha akili za kindezi za kuwasemea wafu. Magufuli alishakufa na hayupo tena katika ulimwengu huu. Sisi tulio hai tupambane na hali zetu, hizo mikwara za wafu zibakie huko huko kuzimu. Hapa hatuzitaki.
Sawa kwakuwa wewe ndio ulie post na hayo maneno ni yako mwenyewe na Muomba Mungu akujibu ungali hai. Asante
 
Udini unakusumbua sana mkuu,hapa umezunguka tu,.kwanini usiwe busy na hamsini zako kuliko kila siku kuja kulialia humu.
Kuna mahali nimetaja dini ya mtu?
Kwani jana hapakuwa na viongozi wote wakidini na wahudhuriaji pia?
 
Yule mwovu wa chato ndiye alimuua kwa mkono wake.
 
Jamani mtu akishakufa amekufa tu...

Tukumbuke kuwa appreciate watu wakiwa hai...
 
Watu wengi wanasoma na ku comment kwa hisia wasijuwe kile wamekiandika.
 
Anawalea Maxence Melo . Nitashangaa sana kama hatawapa vyombo vya ulinzi na usalama taarifa za huyu kichaa ili at iwe nguvuni.
Magufuli aliwapandikiza hawa wajinga wengi wakajiona ndo wenye nchi hii kwa iyo wanafikiri hii ni nchi yao
Kwakosa gani hasa? Hata huyo Melo tulikuwa naye wakati serikali ikipambana naye. Tumekuwa watetezi na tumekuwa watu wa haki nakuthamini mchango wake. Soma mabandiko yangu kuhusu mwanzilishi wa jamiiforums navile chombo hiki kumekuwa nguvu yakufichua maovu ktk jamii.
Labda nikwambie mtoa mada hujuwi unakotoka na unapo kwenda ungejuwa usingetoa comment za kichochezi pasipo kusoma mada. Kiufupi wakati mwingine mada zangu zinafutwa na kamwe sijawahi lalamika kwangu ni poa na huu Uzi kama sio poa ufutwe ila nimeshatoka Yale yanakuja tokea.
Nilitoa tahadhari kwa JPM before he die hakuna mtu analalamika juu ya Hilo nikampa tahadhari Ben mpaka leo watu ukitoa comment wanasema wanataka Ben well basi na Lissu akawashitaki walio mshauri asiende Dodoma akaenda akakutana na risasasi kama vipi na familia ya membe ikashitaki watu walimuonya juu ya Musiba na akutana na msiba.
This is a country ukishauriwa sikia acha kujifanya mjanja Kuna wajanja kuliko wewe wametulia wala hawapost wala hawajibi wala hawana akaunti jamiiforums. End
 
 
Yule mwovu wa chato ndiye alimuua kwa mkono wake.
Una ushahidi? Tafadhali Katoe taarifa mahakamani. Ndio maana nikasema mnaelimu ndogo ya usalama kwamfano post kama hii inaweza kukutesa usjiwe nn ulifanya
 
Tumpongeze aliyofanya mazuri , changamoto zilikuwepo hasa wale zilizowakuta direct lakini ishapita vingine vinaumiza kama alivyotangulia kusema ndugu Matrix19 hapo juu.


Ishapita tumuache apumzike Mungu ndiye anayejua zaidi tupambane na haya yaliyopo kwa sasa, inapendeza kumkosoa mtu aliyeko hai ambaye ana weza kukujibu. Kuna vingine ngumu kusahau lakini hata uki expose haisaidii ishapita.
 
Legacy ya Magufuli ni mzigo mzito kwa hatima ya siasa za CCM na upinzani. Marehemu bila kijali alikua sahihi kiasi gani au alikua mbaya kiasi gani jambo moja bayana ni kwamba ana wafuasi watiifu ambao ni zaidi ya 50% ya wapiga kura kote nchini. Hii maana yake ni kwamba kumnanga hadharani hasa kwa uongo mwingi ni kebehi kwa watu wake ambao hakika utakutana nao tu
 
Nilitoa tahadhari kwa JPM before he die hakuna mtu analalamika juu ya Hilo nikampa tahadhari Ben.

Boss,
Kwanini huwa unaijua mipango ya matukio
yanayohusisha vifo? Kwann wewe ndo utoe tahadhari za vifo?

Umeshawahi sikia hadithi ya diwani mwizi na paka?

" Palikuwa na diwani mwizi wa kuku ndani ya kijiji, diwani huyu alifuga paka kwa siri, kila alipoiba kuku alimwacha paka bandani ambaye baadae hukimbilia nyumbani kwa diwani, wanakijiji siku zote humtafuta paka huko porini wamuue ila paka yule yupo kafichwa ndani na diwani, Diwani ndiye huongoza misako ya paka mwizi pori kwa pori"

Sasa isije kuwa unatuongoza kumsaka paka pori kwa pori ila wanakijiji wamehisi kuna tatizo ndo maana unaulizwa ulizwa kuhusu Ben.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una ushahidi? Tafadhali Katoe taarifa mahakamani. Ndio maana nikasema mnaelimu ndogo ya usalama kwamfano post kama hii inaweza kukutesa usjiwe nn ulifanya
Usinitishe. Enzi za giza za kutishana ziliondoka na yule fascist wenu. Ujue na wewe hujui unasema niende Mahakamani kwa utaratibu gani wa.kisheria za nchi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…