Baba Levo akiwa usafini

Nimesikiliza interview yake na Zamaradi toka hapo nimemuelewa huyu jamaa na tusihukumu mtu kabla ya kumsikiliza. ameongea mengi sana na kapita katika mambo magumu sana katika maisha yake, anachofanya yuko sawa 100% anafanya kile chenye maslahi na yeye naumuombea tu Mungu amuongoze ila jamaa ni mkweli na muwazi.
 
Changamoto ya binadamu hawapendi mwenzie apate na apige hatua kimaisha. Akiwa hajafanikiwa wanajifanya wanampa moyo ila akifanikiwa hao hao wanamponda. Mimi nafurahi sana mtu akipiga mafanikio tena namuombea azidi fanikiwa zaidi mana atawasaidia ata ndugu, jamaa na marafiki.
 
Sidhani kama watu wanachukia mafanikio yake. Watu wamekuwa bored na matendo yake, amekuwa too much mpaka kero.

Sasa huyo akifukuzwa kazi si atakufa kabisa, au anafikiri ameshakuwa mama Dangote sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…