Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto ya binadamu hawapendi mwenzie apate na apige hatua kimaisha. Akiwa hajafanikiwa wanajifanya wanampa moyo ila akifanikiwa hao hao wanamponda. Mimi nafurahi sana mtu akipiga mafanikio tena namuombea azidi fanikiwa zaidi mana atawasaidia ata ndugu, jamaa na marafiki.Nimesikiliza interview yake na Zamaradi toka hapo nimemuelewa huyu jamaa na tusihukumu mtu kabla ya kumsikiliza. ameongea mengi sana na kapita katika mambo magumu sana katika maisha yake, anachofanya yuko sawa 100% anafanya kile chenye maslahi na yeye naumuombea tu Mungu amuongoze ila jamaa ni mkweli na muwazi.
Azione mara ngapi ?Siku si nyingi ataanza kuziona siku zake..
Sidhani kama watu wanachukia mafanikio yake. Watu wamekuwa bored na matendo yake, amekuwa too much mpaka kero.Changamoto ya binadamu hawapendi mwenzie apate na apige hatua kimaisha. Akiwa hajafanikiwa wanajifanya wanampa moyo ila akifanikiwa hao hao wanamponda. Mimi nafurahi sana mtu akipiga mafanikio tena namuombea azidi fanikiwa zaidi mana atawasaidia ata ndugu, jamaa na marafiki.