Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini
Ukipelekwa mswada wa kodi kwa mtu ambaye ni mbunge na hajui namna kodi za Tanzania zinavyofanya kazi unategemea achangie nini
Kuna wakati ukiifikiria Tanzania unahuzunika sana imagine baba levo ni mbunge ambaye mambo mengi ya kiutawala hayajui na yupo bungeni kupigania na kutengeneza hatma ya watoto wetu unajua kuna mambo huwa yanashangaza sana
Kama nchi tunataka kuendelea tunatakiwa kuachana na watu kama baba levo kwenye nafasi za ubunge tuchague watu ambao ni competent simchukii baba levo ila ana-mambo mengi sana ya kujifunza kabla hata hajawa mbunge