Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Nimekuelewa 🤣🤣🤣🤣🤣Sifa za kuwa Mbunge ni kujua kusoma na kuandika, na sio kujua vitu!. Baba Levo anajua kusoma na kuandika.
P
Nimekuelewa 🤣🤣🤣🤣🤣Sifa za kuwa Mbunge ni kujua kusoma na kuandika, na sio kujua vitu!. Baba Levo anajua kusoma na kuandika.
P
Kazi ya uandishi wa habari is to。tell nothing but the truth!Na huyu ni moja ya wahandishi wa habari maarufu anasupport ujinga kama huu
Tanzania ni nchi ambayo inasikitisha sana
Tunakumbatia mediocre kwa gharama yeyote ilePrinciples ya Meritocracy haifuatwi hapa nchini kwetu, kuanzia siasani hadi kwenye maofisi ya umma ni uozo mtupu
Sio tunakumbatia as if we are not, we are mediocre tuki practice mediocrity.Tunakumbatia mediocre kwa gharama yeyote ileSL
Ukisema sifa ya mbunge ni kusoma na kuandika , je kazi ya mbunge ni ipi? Maana navyojua kusoma na kuandika kunamfanya aweze pitia sheria kanuni na taratibu ili awe mwelewa.Sasa kama anajua kusomahalafu hajui hizo taratibu ni kitu cha kuhuzunisha mno. Maana kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali na kuishauri pamoja na kupitisha Miswada mbalimbali ya sheria. Sasa kama mbunge hawezi fatilia sheria na kuzijiua na mtu anasema siyo lazima ni hatari.Pascal Mayalla hajakosea. Hili ni TATIZO la KATIBA ya JMT sio baba levo