Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Wapo wengi aana hao, baba levo ni mmoja tu umemtajaKuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini
Kuna wakati ukiifikiria Tanzania unahuzunika sana imagine baba levo ni mbunge ambaye mambo mengi ya kiutawala hayajui na yupo bungeni kupigania na kutengeneza hatma ya watoto wetu unajua kuna mambo huwa yanashangaza sana
Kama nchi tunataka kuendelea tunatakiwa kuachana na watu kama baba levo kwenye nafasi za ubunge tuchague watu ambao ni competent simchukii baba levo ila ana-mambo mengi sana ya kujifunza kabla hata hajawa mbunge
Uzi unamuhusu baba levoWapo wengi aana hao, baba levo ni mmoja tu umemtaja
Wabunge clueless wako wengi
Sio kazi ya mbunge kujua kila kitu, kazi ya mbunge ni kuwawakilisha wananchi, kazi hii anaiweza sana.Kama nchi tunataka kuendelea tunatakiwa kuachana na watu kama baba levo kwenye nafasi za ubunge tuchague watu ambao ni competent simchukii baba levo ila ana-mambo mengi sana ya kujifunza kabla hata hajawa mbunge
Mbumbumbu la taifaKuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini
Kuna wakati ukiifikiria Tanzania unahuzunika sana imagine baba levo ni mbunge ambaye mambo mengi ya kiutawala hayajui na yupo bungeni kupigania na kutengeneza hatma ya watoto wetu unajua kuna mambo huwa yanashangaza sana
Kama nchi tunataka kuendelea tunatakiwa kuachana na watu kama baba levo kwenye nafasi za ubunge tuchague watu ambao ni competent simchukii baba levo ila ana-mambo mengi sana ya kujifunza kabla hata hajawa mbunge
Na ajabu wewe ni mwandisha wa habari nguli unaongea point kama hiiSio kazi ya mbunge kujua kila kitu, kazi ya mbunge ni kuwawakilisha wananchi, kazi hii anaiweza sana.
P
Aisee kaka mbunge anatakiwa kujua basics za bunge na nini kinaendelea kama hajui anawasilisha nini?Sio kazi ya mbunge kujua kila kitu, kazi ya mbunge ni kuwawakilisha wananchi, kazi hii anaiweza sana. https://www.jamiiforums.com/threads...wa-ni-akili-kubwa-nimememkubali-sana.2441620/
P
Sifa za kuwa Mbunge ni kujua kusoma na kuandika, na sio kujua vitu!. Baba Levo anajua kusoma na kuandika.Aisee kaka mbunge anatakiwa kujua basics za bunge na nini kinaendelea kama hajui anawasilisha nini?
Tusibebe wajinga
Katiba ya mwaka 1977 😅😅😅😅Sifa za kuwa Mbunge ni kujua kusoma na kuandika, na sio kujua vitu!. Baba Levo anajua kusoma na kuandika.
P
Exactly, ana sifa zote,Katiba ya mwaka 1977 😅😅😅😅
Ile aliyoisema Prof. Assad ni roughly 78% ya wabunge haramu ni vilaza wa jumla, yaani hawana uelewa hata wa ubunge wenyewe.Wapo wengi aana hao, baba levo ni mmoja tu umemtaja
Wabunge clueless wako wengi
Sifa za kuwa Mbunge ni kujua kusoma na kuandika, na sio kujua vitu!. Baba Levo anajua kusoma na kuandika.
P
Mkuu unajua vigezo vya kuwa Mbunge?Kuna video baba levo amepost akisema amepewa elimu ya kodi baada ya sintofahamu kutokea kati ya ommy dimpoz na afisa TRA yaani amekuwa mbunge ilihali hajui sheria za kodi usishangae hata alipokuwa kwenye kampeni alisema waziwazi hajui mswada ni nini
Kuna wakati ukiifikiria Tanzania unahuzunika sana imagine baba levo ni mbunge ambaye mambo mengi ya kiutawala hayajui na yupo bungeni kupigania na kutengeneza hatma ya watoto wetu unajua kuna mambo huwa yanashangaza sana
Kama nchi tunataka kuendelea tunatakiwa kuachana na watu kama baba levo kwenye nafasi za ubunge tuchague watu ambao ni competent simchukii baba levo ila ana-mambo mengi sana ya kujifunza kabla hata hajawa mbunge
Umenena ukweli kabisa . Watanzania wengine Hawaelewi hata kazi ya Mbunge na Majukumu yakeSio kazi ya mbunge kujua kila kitu, kazi ya mbunge ni kuwawakilisha wananchi, kazi hii anaiweza sana.
Japo Nilikuwa Simkubali Baba Levo Kwa Uchawa Compared to ZZK, Leo Nimemsikia Bungeni, Kumbe ni Bonge la Kichwa, ni Akili Kubwa!, Nimememkubali Sana!.
P
Ni nini alichofanya ebu taja hayo aliyofanyaUkijaribu kutafakari babalevo alipotokea, mpaka muda huu still ni kati ya wabunge ambao wameitendea haki nafasi hiyo ukilinganisha na wabunge wengi wasomi.
Bunge linahitaji watu kama yeye
Na huyu ni moja ya wahandishi wa habari maarufu anasupport ujinga kama huuHahaha, Unakua mbunge hujui namna serikali inavo fanya kazi, Mbaya zaidi una elekezwa bado unakaza fuvu.
Mkuu Deni, Dennis Robert Shughuru ,ukweli ndio sifa yangu kuu, kwani hao wabunge ma Ph.D holders,wanaojua vitu,wanasaidia nini nchi na wananchi compared to hawa wa daasasaba?.Na ajabu wewe ni mwandisha wa habari nguli unaongea point kama hii
Tanzania ni nchi ambayo inakatisha tamaa sana
Pascal Mayalla hajakosea. Hili ni TATIZO la KATIBA ya JMT sio baba levoNa huyu ni moja ya wahandishi wa habari maarufu anasupport ujinga kama huu
Tanzania ni nchi ambayo inasikitisha sana