Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny


IMG_2839.jpeg

IMG_2838.jpeg
 
sawa ngoja tuone, pia namtakia mema tele
Okay, said.. kila mtu alizaliwa pekeyake na atakufa pekeyake.. so lazima tujue mtu ukiwa pekeyake anaweza akasimamaje ? Ni nzuri kwa ustawi wa mtu binafsi na ni maendeleo makubwa
 
Kwa pamoja tunasonga mbele kuelekea kesho iliyobora zaidi kamwe atuache kuwa wabunifu na kuendelea kujijenga sisi ndiyo kizazi kinachobadilisha mchezo

Maneno hayo hapo juu ni maneno kutoka mtandao ya Yas ambazo zamani ilikuwa tigo

Twende kwenye mada bwana kilungi a.k.a mbosso naona anaenda kuwa Rich mavoko mpya mjini

tusubiri tuone
20250130_100035.jpg
 
Acha aende akajisimamie kwani si tayari ashaujua mchezo.
Kila la heri zake
 
Back
Top Bottom