Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Never say neverHe won't be mbosso anymore, atarudi kuwa maromboso yule wa "mimi thi thaidhi yako..."
I'll never stop saying neverNever say never
Mbosso annaweza simama yeye kama yeye..he knows the ways...huwez predict the futureI'll never stop saying never
sawa ngoja tuone, pia namtakia mema teleMbosso annaweza simama yeye kama yeye..he knows the ways...huwez predict the future
Okay, said.. kila mtu alizaliwa pekeyake na atakufa pekeyake.. so lazima tujue mtu ukiwa pekeyake anaweza akasimamaje ? Ni nzuri kwa ustawi wa mtu binafsi na ni maendeleo makubwasawa ngoja tuone, pia namtakia mema tele
sio kumroga tu atakuwa goodluckUnataka kusema akitoka watamroga?
kivipi mkuu embu weka nyama!Inasikitisha sana
Sema mshakaji anaandika sanaMbosso kamzidi boss