GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
2,194
Reaction score
4,805
Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.


1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0


​

Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
 
levo anafanya kazi gani?
 
Huwezi kushinda Ubunge kwa kituo kimoja cha Kupigia (Tawi) Kura, kwa takwimu hizi ulitakiwa kusema ameongoza au to mkeka wa vituo au matawi yote.
 
Hapo machawa wote wasio jielewa lazima wapite ili 2030 kama namuona Mzee wa chama akisimama nakusema katka vijna wote hakuna mwenye uzoefu kama mwanangu one halafu anacheka na kale kakicheko kake he he he hivyo hana budi kupepelesha bendera ya chama chetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…