City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Correction 1, system ya wajumbe ilikuwepo muda wote kabla ya magufuli. 2015 wakati wa kikwete walikua na utaratibu ambao mwanachama wa ccm anaqualify kuwa mjumbe na kupiga kura za maoniSiyo Magufuli? Kipindi cha Magufuli ndio hii system ya Wabunge kuchaguliwa na wajumbe ilianza
.
Babu Tale na Mwana FA walipita bila kupingwa na kuwa wabunge kipindi cha Magufuli
Correction 2: mwanafa hakupita bila kupingwa, kura maoni alikua na washindani wengi na pia kwenye uchaguzi mkuu alikua na washindani wengi akiwemo yule dada wa chadema yosepher komba