GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mama yako anahusika kwa kutuletea kenge kama wewe usiyefikiri kazi kuwaza ujinga,haya mpe mama yako hiyo kura yako uone kama babalevo atakufa
Unataka ligi za kitoto sio?
sio lazima kila ugomvi unarusha ngumi
i rest my case with you
UMESHINDA!
 
Hatuwez kuwa na wabunge wanaoenda kujadili mambo mazito ya nchi kwa kutanguliza uchawa. Hiyo ni nchi ya aibu na isiyoakisi uongozi bora.
Hao waliokuwepo kabla ya machawa walijadili mambo gani mazito juu yako kama siyo kujadili mambo ya posho na familia zao?

Tatizo waTz wengi kwa ujinga mnaona mtu aliyesoma kamaliza kila kitu pasipo kuona kuwa kabla ya wakoloni jamii za kiafrika ziliongozwa na watu wenye HEKIMA na siyo ELIMU,nasisitiza elimu siyo hekima kuna wasomi wanashindwa hata kujadili maswala ya familia zao,shit!!
 
Unataka ligi za kitoto sio?
sio lazima kila ugomvi unarusha ngumi
i rest my case with you
UMESHINDA!
Hii siyo ligi bali uhalisia wa mambo hasa kwa watu kama wewe mnaodhani uongozi ni elimu badala ya HEKIMA,shit!!
 
Hao waliokuwepo kabla ya machawa walijadili mambo gani mazito juu yako kama siyo kujadili mambo ya posho na familia zao?

Tatizo waTz wengi kwa ujinga mnaona mtu aliyesoma kamaliza kila kitu pasipo kuona kuwa kabla ya wakoloni jamii za kiafrika ziliongozwa na watu wenye HEKIMA na siyo ELIMU,nasisitiza elimu siyo hekima kuna wasomi wanashindwa hata kujadili maswala ya familia zao,shit!!
Mi sijazungumzia elimu, nimepinga uchawa!! Kiongozi chawa hawez kuamua kwa maslahi ya wengi au taifa bali kwa takwa la unayemfanyia uchawa.
 
Hayo ni matokeo ya kata moja tu
Hapa ndio wanapotuchanganya. Utaletaje matokeo ya kata moja tu, au wanagombea Udiwani?
Jimbo ni muunganiko wa kata kadhaa- wastani wa kata 10 - 20 hivi.

Nafikiri watangazaji wanajua wanachofanya, kumpaisha wanayomtaka.
 
Mi sijazungumzia elimu, nimepinga uchawa!! Kiongozi chawa hawez kuamua kwa maslahi ya wengi au taifa bali kwa takwa la unayemfanyia uchawa.

asilimia kubwa ya wana siasa ni machawa, Kama baba levo hafai kwa hoja yako asilimia 90% watakaokuemo pia hawafai.
 
Wanaondeka kupitisha mambo nyeti wa Mustakabali wa taifa kumbe hawatikiwi kua na shule wanaopitisha miswaada mbali mbali hawatakiwi kua na kua wasomi hapo ndo uwa naungana na ndugu zangu wabaguzi wa rangi wanaosema waafrika sio binadamu kamili
Mbunge musukuma hana upeo wa kuchangia mambo ya bungeni?
 
Tuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.

Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Hakuna bunge la kuibana serikali tena.....
 
Mbunge musukuma hana upeo wa kuchangia mambo ya bungeni?
Msukuma ni boya yule ni kasuku Bungeni mtu ambae hajui hata GDP ya Kenya inazidi ya Tanzania hana akili. Elimu ni Muhimu sana kwa wabunge kuzidi sehemu nyingine yoyote Bunge ni muhimili tunaitaji wasomi mle
 
Mi sijazungumzia elimu, nimepinga uchawa!! Kiongozi chawa hawez kuamua kwa maslahi ya wengi au taifa bali kwa takwa la unayemfanyia uchawa.
Huo ndiyo ujinga ulionao kichwani na mwisho wa kufikiri ,uchawa ni kazi kama kazi nyingine sema Tz mnachagua kazi na kurefusha midomo.
Nchi za nje wanalipwa na kila mtu maarufu anamachawa wake,haya babalevo na uchawa wake amwahi kuiba au kukwepa kodi si anakula jasho lake?
Hiyo ni style ya utafutaji kenge wewe
 
Msukuma ni boya yule ni kasuku Bungeni mtu ambae hajui hata GDP ya Kenya inazidi ya Tanzania hana akili. Elimu ni Muhimu sana kwa wabunge kuzidi sehemu nyingine yoyote Bunge ni muhimili tunaitaji wasomi mle
Sasa siuende wewe uliyesoma na unayeamini kuwa mbunge kujua GDP ya kenya itaisaidia Tz kuendelea,hao wanaoendekeza familia zao wanaijua hiyo GDP ya kenya?

GDP ya kenya ina umuhimu gani na maendeleo ya watanzania au mbunge wa Tz??
 
Back
Top Bottom