GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hahaha tupo kizazi cha giza. Yaani unamuacha msomi Advicate Basila Moses unamchagua Baba Levo! Hahaha unamuacha Dkt kabisa unachagua Baba Levo ambaye hata uwaziri hawezi pewa
Uongozi sio elimu tu. Wapo wengi wenye elimu kubwa ila sio viongozi wazuri
 
Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.


1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0



Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Hayo ni majumuisho ya kura zote jimboni ama ya kata moja?

Maana huku niliko kata moja ina wapigakura 500-600
 
Mbona na suala la shule uwa mnalikandia sana kwa nini kuajiri mwalimu lazima shule iwepo la sivyo kila mtu angekua mwalimu kuna mtu hawezi kufundisha Mbunge lazima hawe na degree binafsi Baba Levo ukiacha ujinga wake linaweza kujenga hoja
Wenye degree wamefanya nini?.. bunge ni la watanzania wote
 
Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.


1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0



Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Mods toeni huu uongo wapiga kura (wajumbe ) Kigoma mjini ni zaidi ya Elfu kumi mtu analeta ujinga kama huu humu

USSR
 
Mbona na suala la shule uwa mnalikandia sana kwa nini kuajiri mwalimu lazima shule iwepo la sivyo kila mtu angekua mwalimu kuna mtu hawezi kufundisha Mbunge lazima hawe na degree binafsi Baba Levo ukiacha ujinga wake linaweza kujenga hoja
Ualimu ni taaluma, ubunge siyo taaluma
 
Back
Top Bottom