BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Kama hakitoboa huyu basi bunge litakuwa la ovyo kuwahi kutokea tangu uhuru wa Tanganyika!
Ubaya kivipi?Ndivyo ubaya wa demokrasia ulipo
Baada ya samia atafuata alhaj sheikh dokta hussein mwinyi,Ili figo zako zisinyae kabisaHii nchi ni siku nyingi iliteleza. Kuruhusu Kikwete awe rais ndiyo kunaitafuna Tanzania sasa
Demokrasia itakuletea trump,maguUbaya kivipi?
Wenye degree wamefanya nini?.. bunge ni la watanzania woteTuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.
Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Moses Basila: 0
Hii nchi ukishakua mjinga na mpumbavu uta enjoy sanaIla hii nchi ishakua na mambo ya kinanii sana...🤨
Hayo ni matokeo ya kata moja tu, vituo vingine vinavyoendelea kutangaza anaongoza mbunge wa Sasa kigomaBaba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0
View attachment 3430960Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Kata hiyo ipo wapi?Alikuwa diwani wa kigoma mjini kwa miaka mitano. Wananchi wanamjua kazi yake
kabisaKama hakitoboa huyu basi bunge litakuwa la ovyo kuwahi kutokea tangu uhuru wa Tanganyika!
Inasikitisha sana, anatangaza ushoga mchana kweupeeee.Astaghafilulahi!!
Hii siyo dalili nzuri...
Mcheza kamarilevo anafanya kazi gani?
Degree ndio zinaongoza? Kipindi cha Magufuri ma profesa na PhD zilikuwa zimejaa serikalini zimeleta tija ganTuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.
Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Maana hadi atamani kuzaa watoto pacha kwani anafanywa nini hadi anatamani kuzaa🙄Inasikitisha sana, anatangaza ushoga mchana kweupeeee.