Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kazi gani?Alikuwa diwani wa kigoma mjini kwa miaka mitano. Wananchi wanamjua kazi yake
Kazi gani?Alikuwa diwani wa kigoma mjini kwa miaka mitano. Wananchi wanamjua kazi yake
UMEWAZA MNOHapo machawa wote wasio jielewa lazima wapite ili 2030 kama namuona Mzee wa chama akisimama nakusema katka vijna wote hakuna mwenye uzoefu kama mwanangu one halafu anacheka na kale kakicheko kake he he he hivyo hana budi kupepelesha bendera ya chama chetu
Kazi iendelee!Duh amemzidi baruan 🙌 aisee
Kazi gani?
kwani leo kura zinapigwaje? Ni wajumbe ie selectef few au ni wanachama wote wa jimbo hilo? But how is this possible kama ni wanachama wote?Huwezi kushinda Ubunge kwa kituo kimoja cha Kupigia (Tawi) Kura, kwa takwimu hizi ulitakiwa kusema ameongoza au to mkeka wa vituo au matawi yote.
Chawa wa Diamondlevo anafanya kazi gani?
Alipiganiaje na Kwa ushahidi...Kupigania maendeleo ya wapiga kura wake
Uchawa ni tabia tu wala haihusiani na kiwango cha usomi. Hivi Chalamila Mkuu wa Mkoa wa Dar siyo msomi?Tuliwashauri wekeni kiwango cha chini kabisa cha elimu kwa anayewania Ubunge iwe Degree moja, mngenasa chawa wote.
Sasa kuna siku mtajikuta Bumge nzima linakuwa la machawa watupu.
Mtoa mada ni muongo mimi nipo kigoma matokeo ya jumla hayajatoka ila kuna sehemu kama kata ya kipampa baba levo anaongoza kata za majengo na machinjoni anaongoza kulumbe mwanaga kusini kilumbe mwanga kaskazini baba levo anaongozaBaba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0
View attachment 3430960Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Astaghafilulahi!!Huyu ndiye alitoa ahadi ya kumzalia Diamond watoto mapacha.
Mshahara wa kwanza bungeni tunabetia woteBaba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.
1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0
View attachment 3430960Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.