GE2025 Baba Levo huenda akashinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Kigoma Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huo si ushindi bali ni kuongoza katika tawi, tusubiri majumuisho.
 
Degree ndio zinaongoza? Kipindi cha Magufuri ma profesa na PhD zilikuwa zimejaa serikalini zimeleta tija gan
Siyo tija tu, jee Profesa kama Kabudi kumwita Magufuli hadharani "Mheshimiwa Mungu" hakukumfanya aonekane CHAWA?
 
  • Thanks
Reactions: K11
Degree ndio zinaongoza? Kipindi cha Magufuri ma profesa na PhD zilikuwa zimejaa serikalini zimeleta tija gan
CCM ndiyo imefanya wasomi wa nchi yetu wajione wanyonge huku ma mbumbumbu yakishika nyadhifa nyeti za maamuzi ya dola
no wonder Taifa kinadumaa.
 
Hii nchi ni siku nyingi iliteleza. Kuruhusu Kikwete awe rais ndiyo kunaitafuna Tanzania sasa
Ni kweli ilitereza, na inasemekana kama bila Kikwete nchi hii ilikuwa si tu ilitereza bali ingeingia shimoni na kutokomea huko.
Hivyo tumpongeze Kikwete kwa kuinusuru nchi.

Iko hivi: Nyerere alishika usukani, kalipeleka gari mpaka taili nyanganyanga, gear box hoi, Mfumo wa usukani mbovu. Likamshinda, gari akamtupia Mwinyi- Mwinyi kababaika nalo mpaka aka-overhaul injini yote(baraza la mawaziri kuvunjwa/kubadili toka ujamaakwenda ubepari), wapi akashindwa. Kamtupia Mkapa, du hapa ndio palikuwa pabaya sana mpaka tukazalisha wakimbizi kwa mara ya kwanza. Zanzibar wakimkumbuka machozi ya damu yawatoka. Mwembechai usiseme. Nchi akamtupia Kikwete, bila hata kukalia kiti kapambana na kashfa ya ESKRO,- eti mi sijui, Ebo we si Rais- kaubeba mzigo, akapewa na bonus ya Richmond, gari ndo limepotea njia kabisa, akajaribu kutia petroli ya Katiba mpya. Huu mdundiko mpaka anaondoka kaenda kuutupa baharini, mpaka leo shetani huyo hakuna aliyeuweza na gari ndio limepaki gereji.......(Mzigo mzito mpe msukuma.....) Lakini inasemekana kuwa vipuli vya gari hilo vingine vimekutikana huko Cuba, vingine havijulikani vilipo, na vingine vimefungiwa na mshika funguo hajulikani alipo.................
Muokozi karudi ulingoni..............
 
Asante sana. N kweli hizi ni laana za kumkataa Salim na kumpitisha Kikwete rais wa hovyo kabisa aliyetumia fedha kununua urais.
 
Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.

1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0

Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
huwa inasikitisha sana unakuwa na bonge la mwili halafu akili kisoda kabisa kabisa yaani.
 
Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.

1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0

Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Ulikuwa michuano mkali Sana yani kaburuza kobaz wote wanne.

Nyonzo bin mvule adriz kimsboy hydroxo
 
Siyo Magufuli? Kipindi cha Magufuli ndio hii system ya Wabunge kuchaguliwa na wajumbe ilianza
.
Babu Tale na Mwana FA walipita bila kupingwa na kuwa wabunge kipindi cha Magufuli
Magufuli ilikuwa ni matokeo ya Kikwete. Yaani wangekuwa wamemkataa Kikwete, Magufuli asingepata urais na haya mambo yanayotokea sasa hivi yasingetokea tena.
 
Wasomi tumegeuka takataka sababu tumekuwa machawa! Sasa utashindana vipi na Chawa pro kama babalevo? Mtu na PHD unajikomba kwa wanasiasa hadi aibu. Acha washinde machawa pro kuliko wasomi ambao wakifika bungeni hawana lolote.
 
PhD za kampala University............maavi
 
Baba Levo ameshinda kuwania Ubunge kwa kura za maoni Katika mchakato wa kura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini.

1. Clayton Chipando (Baba Levo): 77
2. Kilumbe Shaban Ng'enda: 38
3. Dkt. Ahmad Sovu: 32
4. Baruan Muhuza: 20
5. Dkt. Maulid Kikondo: 4
6. Moses Basila: 0

Tafadhali endelea kufuatilia kwa taarifa zaidi kadri zinavyotolewa.
Hayo ni matokeo ya kata moja tu
 
Kashindwa wewe,kata zipo 19 na wewe unakuja na kata moja tu.Sema Kirumbe Shabani katoa rushwa na kuna kura zimekamatwa zikiwa zimepiga vema kwa Kirumbe. Ila watanzania wenye asili ya Burundi ni balaa.
 
Back
Top Bottom