Correction 1, system ya wajumbe ilikuwepo muda wote kabla ya magufuli. 2015 wakati wa kikwete walikua na utaratibu ambao mwanachama wa ccm anaqualify kuwa mjumbe na kupiga kura za maoni
Correction 2: mwanafa hakupita bila kupingwa, kura maoni alikua na washindani wengi na pia kwenye uchaguzi mkuu alikua na washindani wengi akiwemo yule dada wa chadema yosepher komba