Baba Levo: Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya Ualimu

Waache ujinga sio ualimu tu ajira yoyote bila kujiongeza hautoboi .selikalini ili utoboe lazima uwe mwizi na huo ndio ukweli.kwenye ualimu hakuna marupurupu yoyote labda usimamizi wa mitihani tofauti na hapo ni njaa.
 
Kwani utajiri ni nini?
Yaani yeye amedefine mtu kujenga ghorofa ndiyo utajiri!
Utajiri ni uwezo wa kuwa na kipato endelevu hata mtu husika akiacha kufanya kazi aliyokuwa akiifanya.
Walimu wanahudumia wategemezi na maskini. Kipato cha mtu hushabihiana na hali ya kiuchumi ya wale anaowahudumia.
 
Kwa hiyo anataka watu wote wawe CHAWA kama yeye! Halafu kipimo cha utajiri kwa upande wake ni kipi?
 
Walimu wana fursa nyingi sana, aache mawazo mgando. Huyu kaka huwa sijui namwonaje...
 
Hata kama kauli yake ina ukweli lkn bado ina athari kwa jamii na kizazi kijacho. Mfano, ule wimbo wa Kali P - 'imekaa vibaya' mwisho wa wimbo anamalizia kusema 'sijui kesho nitaamka mapema .... Kuanzia Leo sio Polisi tena'. Media siku hizi huo mstari wa wimbo wanauminya / wanaupotezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…