PostGE2025 Baba Levo: Nawasihi vijana msishiriki vurugu kuharibu amani ya nchi yetu, kwanini ushambulie jitihada za Rais Samia?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa la Mwalimu Nyerere

"Natumia muda huu ukusihi ewe kijana, mtanzania mwenzangu epuka kushiriki jambo lolote ambalo litakwenda kutuharibia amani utulivu wa nchi yetu, yapo mambo mengi sana ambayo tunaweza kuyafanya kurekebisha pale ambapo hapao sawasawa.

Naomba sana kwa kutumia ujumbe huu uwafikie vijana wote wa nchi yetu Tanzania, usikubali kuchoma kuharibu mali za nchi yetu, usikubali kuingia kushiriki vurugu ambazo zitaenda kutuvurugia amani ya nchi yetu" amesema Baba Levo

k
 
Amesha piga vyombo. Huyu muha wamtembelee
 
Hizo propaganda zao za kijinga wakalishane huKo UVCCM

Kesho Watanganyika tunaendelea palectulipoishia Oktoba 29.
 
SISI vijana tunaojitambua tumekusikia na hatutafanya maandamano ya kuvuruga amani.Tunaipenda nchi yetu na hatutakubali kundi lolote la WAHUNI kutaka kuharibu amani yetu.Hao WAHUNI tutakula nao sahani moja
 
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa la Mwalimu Nyerere

"Natumia muda huu ukusihi ewe kijana, mtanzania mwenzangu epuka kushiriki jambo lolote ambalo litakwenda kutuharibia amani utulivu wa nchi yetu, yapo mambo mengi sana ambayo tunaweza kuyafanya kurekebisha pale ambapo hapao sawasawa.

Naomba sana kwa kutumia ujumbe huu uwafikie vijana wote wa nchi yetu Tanzania, usikubali kuchoma kuharibu mali za nchi yetu, usikubali kuingia kushiriki vurugu ambazo zitaenda kutuvurugia amani ya nchi yetu" amesema Baba Levo

k
Tangu lini muha akawa na akili ,na pua kubwa kama beseni LA wachawi
 
Zitto walimchoka ila wameenda kuchagua hilo kiazi zaidi
 
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa la Mwalimu Nyerere

"Natumia muda huu ukusihi ewe kijana, mtanzania mwenzangu epuka kushiriki jambo lolote ambalo litakwenda kutuharibia amani utulivu wa nchi yetu, yapo mambo mengi sana ambayo tunaweza kuyafanya kurekebisha pale ambapo hapao sawasawa.

Naomba sana kwa kutumia ujumbe huu uwafikie vijana wote wa nchi yetu Tanzania, usikubali kuchoma kuharibu mali za nchi yetu, usikubali kuingia kushiriki vurugu ambazo zitaenda kutuvurugia amani ya nchi yetu" amesema Baba Levo

k
Huyu ***** akae Kwa kutulia wanaume kesho tupo kazini kuikomboa Tanganyika yetu.
 
Hizo propaganda zao za kijinga wakalishane huKo UVCCM

Kesho Watanganyika tunaendelea palectulipoishia Oktoba 29.
Kumbe ulikuwa umelala ukisubiri wengine waingie barabarani. Keyboard warrior
Screenshot_20251209_170637_X.jpg
 
Back
Top Bottom