Tangu lini muha akawa na akili ,na pua kubwa kama beseni LA wachawiMbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa la Mwalimu Nyerere
"Natumia muda huu ukusihi ewe kijana, mtanzania mwenzangu epuka kushiriki jambo lolote ambalo litakwenda kutuharibia amani utulivu wa nchi yetu, yapo mambo mengi sana ambayo tunaweza kuyafanya kurekebisha pale ambapo hapao sawasawa.
Naomba sana kwa kutumia ujumbe huu uwafikie vijana wote wa nchi yetu Tanzania, usikubali kuchoma kuharibu mali za nchi yetu, usikubali kuingia kushiriki vurugu ambazo zitaenda kutuvurugia amani ya nchi yetu" amesema Baba Levo
k
Huyu ***** akae Kwa kutulia wanaume kesho tupo kazini kuikomboa Tanganyika yetu.Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo amewasishi vijana na watanzania wa ujumla kuepuka kushiriki vurugu zozote zitakazoharibu amani ya taifa akieleza tayari Rais Samia tayari amehakikisha maendeleo ya Tanzania akitaja miradi ya huduma za afya na miundombinu ya SGR na bwawa la Mwalimu Nyerere
"Natumia muda huu ukusihi ewe kijana, mtanzania mwenzangu epuka kushiriki jambo lolote ambalo litakwenda kutuharibia amani utulivu wa nchi yetu, yapo mambo mengi sana ambayo tunaweza kuyafanya kurekebisha pale ambapo hapao sawasawa.
Naomba sana kwa kutumia ujumbe huu uwafikie vijana wote wa nchi yetu Tanzania, usikubali kuchoma kuharibu mali za nchi yetu, usikubali kuingia kushiriki vurugu ambazo zitaenda kutuvurugia amani ya nchi yetu" amesema Baba Levo
k
Kumbe ulikuwa umelala ukisubiri wengine waingie barabarani. Keyboard warriorHizo propaganda zao za kijinga wakalishane huKo UVCCM
Kesho Watanganyika tunaendelea palectulipoishia Oktoba 29.