Baba Levo: Ningekuwa Mwanamke ningemzalia Diamond watoto watatu

Si bora angesema Diamond angekuwa demu ningemzalisha Watoto watatu!

Mwanaume hupaswi kufikiria kuwa Mwanamke hata njia ya Mfano tu!

Sasa huyu Mtoto toka Kigoma yeye kafilria kuwa demu, akawaza kuingiliwa kimwili, then akawaza kaingiliwa bila ya condom tena aingiliwe na Diamond!

Astahfirullah, sasa mkiwa chemba Domo akiomba ku test mitambo inakuaje?
 
Unataka akose ugali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…