Atuulize sisi wa Mwanza, hakuna kitu? SGR Imelala kabisa, hakuna maendeleoMbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Baba Levo amezungumzia wale wanapenda kukosoa jitihada za Rais Samia uwezeshwaji wa mirdi mbalimbali.
"Na mimi nataka niwaambieni ukweli kwa kumalizia, Dkt. Samia Suluhu Hassan namna anavyoleta hii miradi, hawasemi wenye midomo midomo, hawasemi! Kwamba, 'Ah Dkt. kaleta, Samia kaleta', hawasemi. Lakini, tunaenda kutafuta hela, ikitokea tumekopa sehemu yeyote, midomo mingi! 'Mama tafuta hela tujengee, tujengee vitu tuvione.' Na hakuna mtu yeyote mwenye midomo midomo tutapambana naye sisi. Wewe piga kazi tu mamayangu.
Si wanasema kuna makundi? Si wanasema kuna makundi, mimi ni kundi la mama. Sasa kama kuna mbunge yeyote ananizidi mdomo mle ndani, tutasimama naye vizuri tu."- Amesema Baba Levo
Ila wananchi wa Tanzania bado wana ufahamu mdogo sana sana sijui kwa nini. Na CCM inalijua hilo ndo maana inawadanganya kirahisi sana na wanadanganyika kweli.Atuuli
Atuulize sisi wa Mwanza, hakuna kitu? SGR Imelala kabisa, hakuna maendeleo
Sambuse Kigoma, SGR ina umuhimu gani kiuchumi kuliko Mwanza??
Ni kuwahadaa watanzania wajinga... kwa sababu wanaakili ndogo sana za kufikiria wao wanaona ndio tayari wamepata SGR.Kuna haja gani ya hilo jiwe?;ujenzi hauwezi kuanza. Nadhani sherehe ya muhimu ingekua kuzindua. Sasa sisi tunazindua mpaka kuanza kwa ujenzi.
Na hata hawasemi kuweka jiwe la msingi la kuzindua ujenzi. Utasikia kuzindua sgrNi kuwahadaa watanzania wajinga... kwa sababu wanaakili ndogo sana za kufikiria wao wanaona ndio tayari wamepata SGR.
Shangaa leo kigoma ni story za mjini kuwa sasa SGR imekuja Hipoppotumus anaupiga mwingi
Miradi ipi kaleta huyo mbibiMbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Baba Levo amezungumzia wale wanapenda kukosoa jitihada za Rais Samia uwezeshwaji wa mirdi mbalimbali.
"Na mimi nataka niwaambieni ukweli kwa kumalizia, Dkt. Samia Suluhu Hassan namna anavyoleta hii miradi, hawasemi wenye midomo midomo, hawasemi! Kwamba, 'Ah Dkt. kaleta, Samia kaleta', hawasemi. Lakini, tunaenda kutafuta hela, ikitokea tumekopa sehemu yeyote, midomo mingi! 'Mama tafuta hela tujengee, tujengee vitu tuvione.' Na hakuna mtu yeyote mwenye midomo midomo tutapambana naye sisi. Wewe piga kazi tu mamayangu.
Si wanasema kuna makundi? Si wanasema kuna makundi, mimi ni kundi la mama. Sasa kama kuna mbunge yeyote ananizidi mdomo mle ndani, tutasimama naye vizuri tu."- Amesema Baba Levo
Ni kama ile bajet insyosomwa kwa figure ya kisha watu wanashangaliia kuwa ni bonge la bajeti. Njoo kwenye utekelezaji sasa, ni porojo mwanzo mwisho.Ila wananchi wa Tanzania bado wana ufahamu mdogo sana sana sijui kwa nini. Na CCM inalijua hilo ndo maana inawadanganya kirahisi sana na wanadanganyika kweli.
Kwa wajinga wa aina yako jiwe la msingi ndio mradi wenyewe. Kwa wenye akili husubiri mradi ukamilike.RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN anadhidi katuonesha yeye yupo mbele ya muda
Jiwe la Msingi manake kazi tayali inaanza
Watanzania wenye mtazamo wa miaka 50 mbele tupo Pamoja na kiongozi wetu Sababu tunayo na nia tunayo ya kuijenga Tanzania yetu✍️
Shule shule shuleee!Huyu nae hawezi kuongea kwa utulivu au 🤣🤣
Aisee hatari sanaShule shule shuleee!
Wanashabihiana tu kiakili, sasa form four failure na darasa la saba tofauti ni ipi?!.Hippo anafurahia uharo wa mtu wa darasa la saba