Babake Majaliwa anastahili pongezi nyingi sana kwa kutuletea shujaa. Kitendo cha huyu babake Majaliwa kuukimbia familia ndiyo kimepelekea Majaliwa kuishi kwa shida hivyo kujengeka na kuwa shujaa.
Watoto wengi wanaolelewa na wazazi wawili huwa ni walegevu na wasio na tija ktk jamii. Huishia kuoa/ kuolewa na kuzaa watoto kisha kufa maskini. Huwa hawafanyi makubwa kwenye maisha yao.
Lkn watoto wenye kupitia shida kwa kulelewa na mzazi mmoja huwa wanatoboa kweli kweli. Viongozi wengi waliotikisa dunia wamelelewa kwa shida na mzazi mmoja.
Maskini chadema, eti huyu naye ni think tank ya chama. Mtu anayetoa pongezi kwa mtu aliyekimbia majukumu na kutelekeza familia! Hizo pongezi peaneni nyie wenye mwelekeo wa hivyo. Laana ya utelekezaji iwaandame mpaka kuzimu.