Baba mkwe hataki nihame kwake

Wewe si ulisema unafundisha UDSM? Kumbe ni masikini fukara choka mbaya! I seeee! Jamii Forums inaficha mengi!
Kwaiyo kufundisha UDSM ndo directly unakuwa don? Unajua mshahara wa lecture wewe??
Sisi ni maskini tu mkuu wala usishtuke
 
Shida ya jamii forums ni kwamba kila unachokiandika na kukipublish kiko katika kumbukumbu.
Ni vyema ukarejelea maandiko yako ya awali kama kumbukumbu zako si nzuri.




UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU NA UKIWA MSAHAULIFU USIWE MUONGO
 
Kwa hiyo umejianika hapa ili tukusaidieje?
au tukusaidie kureppeal kmmk au?

Mna taabu sana underage
 
Naamini hii stori ni ya kutunga lakini kama ni ya kweli utakuwa na matatizo ya akili
 
We jamaa JAU sana...yaani unamtukana baba mkwe wako kwenye mitandao?Pambana una viungo vyote usiishi kwa kutegemea mshahara.Kama ni kweli baba yako mtu wa system,atakuwa amekusoma IQ yako ndogo,hujiongezi na mambo yako ya kukurupuka kurupuka.Sasa unaleta hiyo issue kwetu sisi tukushauri nini.Kaa chin shauriana na mkeo.Wakat mnatongozana sisi hatukuwa tunawapiga chabo.
 
Aiseee nimecheka sana comments za humu

Ila dumb professor kaamua achekeshe watu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…