Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Una umri gani? naona romance na selective ume yarudia sana kwenye uzi wako!! ila mimi naona kuna haya machache huyajui...

Kwanza inaonyesha hujiamini.

Pili inaonyesha unamuogopa mke wako (na kama ungekua humuogopi hukua na haja ya kuandika uzi hapa ungem face na kumwambia mawazo yako juu ya nini unapenda na nini hupendi)

Tatu uko kama hujiamini na una muogopa mkeo mtarajiwa basi jua bado huna sifa za kuwa mume wa mtu.
 
[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Tabia zake kwenye mgegedo na muonekano wake ni tofauti...unajua watu tunatofautiana katika mahitaji hasa haya ya kingono..binafsi huwezi kuninyonya Dushe halafu nikuromance..
Kwahyo anatakiwa akapige mseaki kwanza njo aje aku rom sio ss kwann usiwe unamwambia

Maana kama ni hvyo hurnda aliekua nae before ww alimfanyia yote hayo ndo maana akahisi na ww utakua mfuasi
 
Na mimi nina tatizo kama lako mkuu

Hisia zilishakata kitambo sana
 
Mkuu achana nae huyo siyo mke huyo ni kiburudisho tu tuachie na sisi tujiburudishe ila kuowa tuwaowe wale wenye nidham katika kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu haha lakini punguza hasira unaweza ukajua namaanisha nini
 
[emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ningekuona una busara kama ungekuwa na wazo la kusitisha hayo maandalizi, itakuwekea heshima kiasi flani kuliko kusubiri dakika ya mwisho!
Pata picha Dada ako angekuwa anafanyiwa hivyo ungejisikiaje aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
KIONGOZI, kwanza sijawahi kusema popote kwamba sisi ni wapenzi lakini maisha yetu kila siku yamefanya ndugu wajue hilo, upande wake aliwaambia...Sasa familia zimekutana bila hata kunishirikisha zinapanga nikirudi ufanyike utaratibu wa kufunga ndoa...ndio binti ananiambia ambacho baba yake anatarajia kufanya.

That's why nasubiri nirudi ili nisitishe maana haziwezi kufanyika nikiwa sipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…