Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Goddess soma hii reply yako..
Mm nmemaanisha mbele bro huyo alichokiongea mm sijakifatilia

Nmemaanisha baada ya kuwekwa pending muda mrefu ungekuta bado mwali ila nifananisha na kauli ya mwenzangu kua break ni balls ndo maana nikasema hukukuta ulichotarajia kwamba si mwali
 
Haya uliyoyaandika hapa unapaswa umwambie huyo mpenzi wako, ukija kufanya kama surprise utakuwa hujafanya vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nmemaanisha mbele bro huyo alichokiongea mm sijakifatilia

Nmemaanisha baada ya kuwekwa pending muda mrefu ungekuta bado mwali ila nifananisha na kauli ya mwenzangu kua break ni balls ndo maana nikasema hukukuta ulichotarajia kwamba si mwali
Sawa mdada nimekuelewa
 
umezunga sn kuwa muwazi kama unaitaji msaada?ulimkuta keshaliwa? ulimpiga jicho umesema ?sijalewa yaani analiwa jicho?ebu kuwa muwazi kijana na punguza mihemko kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kuoa unatakiwa kutumia akili na sio hisia, we wa wapi wewe?!
 
Ukisika kufanya ujinga ndio huo sasa....... Dada zetu wanachaguaga washenz sana...... C umwambie mapema kuliko kutia wazazi wake aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani niliwahi kujitambulisha kwao mkuu? Yaani lifestyle yetu lilifanya ndugu na wazazi wangu wakajua uhusiano, nadhani kwao aliwaambia Sasa Hawa wazazi wakajuana nao wakatengeneza urafiki...sasa wamekaa wamefikia muafaka kwamba nikirudi taratibu za kuwa pamoja na huyo binti zifanyike...
 
Dah mnaishi kizungu sana kama familia zinaweza kukutana kupanga mahali na mipango ya harusi bila kukutaarifu na hujui chochote unasikia tu? Hiyo Kali sana aise
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…