Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Kitu break pu.mbu,alikuwa anazugwa tu,huko chombingo manguli wanafukua mashimo...

Jamaa nyie hamjamuelewa apo... kinachomuua ni kumkute demu hana bikra. Kipindi anabaniwa mechi alijipa matumaini makubwa kuwa ataikuta bikra... then boooom haipo. Hakuna kitu kinauma kama ile unabaniwa mzigo alaf unakuja kujua wenzio walkua wanajilia kirahisi tu.

Hio ya kusema sjui analamba dushe sjui nini ni ishu ndogo sana, unakaa nae unamwambia kuwa mi hiki sipendi kile napenda etc unless kama bado jamaa ni mtoto au anamuogopa mke wake mpaka anakuja kulalamika huku JF. Hapo unakuta dada wa watu hajui kinachoendelea huku


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani huyu mwanamke pimbi sana
 
CHAI.Kuna watu mmekuwa kama Shigongo.
 
Ahahaaa...aya maisha bhna

Daah namuinea huruma huyo bint mana jamaa anaonekana baba paroko....Ila Bora kutomuoa Mana utampa shida mtoto wa watu

Kumbuka.... Judging someone doesn't definite who are they but definite u who you are...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…