synthesizere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2019
- 878
- 1,255
FALA UYU KATUPOTEZEA MDA TU KUSOMA UZI WAKE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu break pu.mbu,alikuwa anazugwa tu,huko chombingo manguli wanafukua mashimo...
Yaani huyu mwanamke pimbi sanaJamaa nyie hamjamuelewa apo... kinachomuua ni kumkute demu hana bikra. Kipindi anabaniwa mechi alijipa matumaini makubwa kuwa ataikuta bikra... then boooom haipo. Hakuna kitu kinauma kama ile unabaniwa mzigo alaf unakuja kujua wenzio walkua wanajilia kirahisi tu.
Hio ya kusema sjui analamba dushe sjui nini ni ishu ndogo sana, unakaa nae unamwambia kuwa mi hiki sipendi kile napenda etc unless kama bado jamaa ni mtoto au anamuogopa mke wake mpaka anakuja kulalamika huku JF. Hapo unakuta dada wa watu hajui kinachoendelea huku
Sent from my iPhone using JamiiForums
Zinatekelezeka tayarSawa, usisahau kuchukua tahadhari zote za corona
Dogodogo ww ni mkuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijataraajia unichekeshe hvThread kama hzi huwa zinatufanya tuchimbe Makaburi
Anyaways hii ndoa mliachana?
Ni mwaka wa 6 sasa tangu nioe, lakini jinsi nilivyompata huyu mke imebaki ni kichekesho kwangu - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Najuta kupoteza dakika tano zangu kusoma huu uzi wa huyu jamaa.Thread kama hzi huwa zinatufanya tuchimbe Makaburi
Anyaways hii ndoa mliachana?
Ni mwaka wa 6 sasa tangu nioe, lakini jinsi nilivyompata huyu mke imebaki ni kichekesho kwangu - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dogo kuna watu wanaamua tu kutuvuruga na thread zao muda mwengneDogodogo ww ni mkuda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijataraajia unichekeshe hv
Yaan nilipofika katikat nkaona Tangawiz imezidNajuta kupoteza dakika tano zangu kusoma huu uzi wa huyu jamaa.
Dogodog anza kuzingua na ww tukuchimbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dogo kuna watu wanaamua tu kutuvuruga na thread zao muda mwengne
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha mie na chai mbali mbali aisee.... Labda kwakoDogodog anza kuzingua na ww tukuchimbe
CHAI.Kuna watu mmekuwa kama Shigongo.Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja ambaye tulikutana kwa mara ya kwanza masomoni UBELGIJI miaka 6 iliyopita, nilimpenda sana na kwa kweli tuliishi nae mda mrefu bila kukwichikwichi kutokana na misimamo yake... Huyu mdada kwetu anajulikana na kila ndugu wa karibu na hata kwao najulikana na wote wanajua lazma tutaoana.
Nilikutana na huyu mrembo mwaka 2013, Yes ni zaidi ya mzuri..mrembo haswa na hata aliponiambia misimamo yake ya kutokumgusa kwanza ilibidi niheshimu maana kipindi hicho tulikuwa masomoni, nikawa nagonga nje japo kwa heshima sana asiiue pale ninapojisikia.
Sasa bwana mwaka 2017, tulirudi wote likizo na baada ya mda Mimi nikapanga kwenda Rwanda kutembea aliposikia na yeye akataka aungane na Mimi, kwa vile kwao walikuwa wananifahamu Wala hawakusita kumruhusu..na hapa ndio ikawa mara ya kwanza kushiriki nae ngono tukiwa Rwanda na hapa ndipo alipoanza kunikinai kabisa pamoja na uzuri wake.
Sijui Kama niko nyuma ya dunia hii wakuu lakini kwa Mimi mtu anaeitwa mke wangu sitegemei kuona ule upuuzi, niko selective sana.. Yaani ile namuandaa ili nimpige mambo nashangaa anaanza kunyonya Dushe, then anataka nimromance nilishindwa kwa kweli nikahisi huyu kashalamba madushe mengi, ile nataka kuchomeka ananiambia hapana nimnyonye papuchi yake kwanza..nikampiga jicho akatulia.
Na mambo mengine ambayo unaona kabisa haya ya kimalayamalaya, tangu niwe nae sijawahi hata kumromance nahisi kinyaa sana....Mimi Niko selective sana kwenye haya masuala ya mahusiano yaani nataka kila kiungo kifanye kazi yake na kiingie sehemu yake sahihi hapo tupigane style zote na si vinginevyo japo mapenzi ni zaidi ya uchafu lakini Mimi hapana aisee... hizi habari za kuchokoana chokoana na kusikochokonoleka Mimi sikuwezi...tangu kipindi hicho niko nae mpaka leo lakini sitarajii kumuoa japo kwa mawazo yake anaamini mimi ndio mume wake
Hapa Niko nje ya nchi na nikirudi huko nyumbani kwetu na kwao washajiandaa ili taratibu zingine za kuwa pamoja zifanyike, Nawaonea huruma sana maana hawajui nawaza nini, hawataamini kabisa nitakachokifanya...Nawapelekea jina jipya ambalo hata hawalijui na sitopoteza mda naoa haijalishi atakubalika au hakubaliki.. huyo wa kwao kwa Sasa siwezi hata kumromance.
Baba Mkwe hizo zawadi nazosikia unatangaza kuzitoa, subiri utampa mwingine.
Hahaha chai ya karafuuu
Shida kaweka viungo ving sana imegeuka kuwa pilau tena sio chaiHahaha chai ya karafuuu
Haaahahaha