Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Baba Mkwe kapanga kunipa zawadi ya nyumba, viwanja na pesa za mtaji kama zawadi nikimuoa binti yake. Tatizo nimepoteza hisia na binti yake

Ulimkuta bikra? Na kivipi unasema huwezi kufanya romance ananuka mdomo au
Maswala ya kunyonya dushe sio mageni maana sio Siri kusema watu hawajui sema labda hajakufurahisha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekula msosi lakini? Kijana unajidai kukinai ukute hata demu wa hadhi huna unaokoteza wapita njia tu ila unafungua Uzi kujifanya unajua sana
 
Sasa unataka umuache kwa kosa lipi au ndio umeshapata huyo wasio mjua jina wazazi wako kama ulivyoandika hapo mwishoni, maana kama wewe ni msomi na mwenzio msomi so mnajielewa, hivyo si vitu tu vya kukaa na kuzungumza kwamba unataka nn ,nn hutaki, na yey anataka nini, nini hataki, kwa pamoja mkafikia muafaka kwamba muuendelee ama laa, na sio kuja huku kutupiga blaa blaaa za nnje ya nchi wakati hata nnje ya nyumba hutoki😎
 
Mtoa mada ni mzee misifa. Kwamba kuna kitu unataka umkomoe ili upate tuzo?
Unapungukiwa nini ukimwambia huna mpango nae mapema akaenda kwa amani. Uko sawa na kaka yangu nae ana upuuzi kama huu kila siku mimi na dada yake tunagombana nae.

We ndo wale wa, Amina simtaki ila anajiletaleta kwangu. Wakati huo bado unaendelea kuwa nae.
Umeishi mambele lakini bado hauko smart una uswahili ule wa Manzese.
 
Kwa sababu umesema tabia zakimalaya malaya
Tabia zake kwenye mgegedo na muonekano wake ni tofauti...unajua watu tunatofautiana katika mahitaji hasa haya ya kingono..binafsi huwezi kuninyonya Dushe halafu nikuromance..
 
Back
Top Bottom