Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

Wee fala "UTATOMBEWA" mke.
 
Mkuu sisi kwenye kabila let mtoto wakike hapati urithi, wanaogawiwa urithi ni watoto wakiume, nieleweke hapo Mtoto wakike hapati urithi.
 
Mkuj kwani yeye si ana Baba yake kwanini asiende kurithi kwao.
 
Wewe jamaa ndiyo hauko sawa. Kwani wewe ni mwanaume maslahi? Ulimuoa huyo mwanamke ili ufaidike kiuchumi kutoka kwa baba yake? Tafuta hela zako ujenge maisha yenu acha ubwege.
 
Wewe Baba Yako alikupa urithi huo?? Mimi nilishakuambia mpata utakapo hama Kwa Dada Yako ndiyo akili zako zinakuwa sawa
 
Wewe jamaa ndiyo hauko sawa. Kwani wewe ni mwanaume maslahi? Ulimuoa huyo mwanamke ili ufaidike kiuchumi kutoka kwa baba yake? Tafuta hela zako ujenge maisha yenu acha ubwege.
Jamaaa ni mjinga sana ,,hivi vitoto vilivyo zaliwa miaka ya 2013 vina shida sana ya Akili
 
Anatakiwa ashee na mtoto wake pesa amepata nyingi sana. Yeye umri umeenda sasa amalize kisha ategemee akizeeka sisi tumwangalie. Ndo atasoma namba sasa.
Hata akimpatia hizo pesa huwezi msaidia. Umesema wewe ni msomi, mpe mbinu hizo pesa zisiishe zote ili baadae asijekuwa mzigo. Furahia baba mkwe anajimudu unakuwa na nafasi ya pesa yako kuifanyia mambo ya muhimu kwa faida ya familia yako
 
Mwisho wa siku atakufa tu na mrithi ni mkeo. Na tamaa zako zote leo, akifa mkeo je?
Sikutegemea ila kama upo kwa nini mke asipewe akafie mbele?tufanye mambo ya msingi maana huyu mzee atakuja kutaka kuja kulelewa hapo baadaye tusije laumiana tu.
 
Yaani wewe ni kiwavijeshi kweli,au dumuzi,huna akili hata kidogo na hiyo elimu unayojivunia haijakuelimisha.
Tumia akili yako kutafuta vyako,acha ujinga wa kuwaza visivyo vyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…