Baba Mkwe simwelewi. Naona kama vile kuna sehemu hayupo sawa. Tusaidiane wajameni

Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.

Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.

Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
Ni hivi namsikitikia baba mkwe wako na pia mke wako. Sasa kama una elimu ya kutengeneza pesa si utengeneze zako.
 
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
We ndio mwenye akili na elimu kubwa bado inategemea mali za Urithi tena ambaye sio Baba yako?
 
Mimi hakuna sehemu nimekutukana. Nimesoma nina Degree IFM na Diploma CBE unadhani ni kama wewe kilaza. Mi natoa ushauri wa kitaalamu wa mambo ya fedha.
Baba ako amekupa nn?
HIyo cv yako haijakusaidia chochote, kam sio wa Tanga wew utakuw njia ya temeke mbagala ndio mkoan kwenu
 
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.

Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.

Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
Ainu kubwa sanaa mwanaume kukomaa na mali za wakwe...pambana kivyako ...aibuuuuu kubwaaaa
 
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.

Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.

Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
Huyo mzee awe makini msije mkamuua bure
 
Wewe umemuoa mke wako kwa sababu unampenda au kwa sababu unataka kutumia mali za urithi kutoka kwa baba yake?
 
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.

Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.

Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
We fala kweli.
Kumbe umeowa ukitegemea kitonga cha urithi wa mkeo.
Boya we
 
Ushauri wa kitaalamu😳😳
 
Pumba tu za kufurahisha kijiwe.
 
Nimejikuta nacheka mwenyewe hapa,man kwanni unaona Kama hautendewi haki?.japo kwa picha ya baadae akiishiwa mshua atakutegemea kwa namna moja au nyingine.pia labda mshua amesha kuona unajitambia kishule chako,Sasa tumia kishule chako ku-money.
 
Baba ako amekupa nn?
HIyo cv yako haijakusaidia chochote, kam sio wa Tanga wew utakuw njia ya temeke mbagala ndio mkoan kwenu
Mimi Tanga Muheza.unasemaje?acha ubaguzi wa kikabila dogo. Baba yangu amenipa ilimu ndo maana nipo hapa na nataka tumua ilimu kusaidia na wengine
 
We fala kweli.
Kumbe umeowa ukitegemea kitonga cha urithi wa mkeo.
Boya we
Sikutegemea ila kama upo kwa nini mke asipewe akafie mbele?tufanye mambo ya msingi maana huyu mzee atakuja kutaka kuja kulelewa hapo baadaye tusije laumiana tu.
 
Je una taarifa kuwa nae alipewa hizo Mali?
Kumbe ulioa binti yake ili kusubiri pesa ya kustaafu ya baba yake!
Una tatizo ambalo usipobadilika utamumuacha mkeo na kwenda kutafuta kiinua mgongo sehemu nyingine
 
Nimejikuta nacheka mwenyewe hapa,man kwanni unaona Kama hautendewi haki?.japo kwa picha ya baadae akiishiwa mshua atakutegemea kwa namna moja au nyingine.pia labda mshua amesha kuona unajitambia kishule chako,Sasa tumia kishule chako ku-money.
Akiishiwa au kuzeeka asije kutaka msaada kila mtu atakula alipopeleka mboga.
 
hakuna jambo gumu kama kuigeuza elimu kua pesa..geniuos unashndwaje kupambana elim yako ikakunufaisha na familia yako..ikitokea mkwe kamgawia mwanae ni karma tu ila hapo naona uyo mzee ndo ana akil manak aligeuza ujuz wake ukawa hela na paka amezeeka bado ana hela na kiinua mgongo maisha yanaendelea mie nafkir bora uend kwa mshua ajufundshe ali succes vp ikiw kuna wazee awana ktu mitaan na wana watoto utititr hat vyakuwalithisha awana uliposem mze ana mtot m2 tu kgezo kua mze ana vision toka kjana
 
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.

Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.

Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.

Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.
"ukaona umuwowe" duuh!
 
Back
Top Bottom