Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuli hata kiakili na miapango na elimu kubwa nibayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo.... Naona kimya tu moaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauei baba yake amgawie urithi mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Yaani anapewa ushauei qa kitaalamu na sisi wenye uelewa nq elimu anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Hovyo sana.
Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki. Simwelewi kabisa.