Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie mwanaye pesa kidogo. Naona kimya tu miaka sasa. Mtoto mwenyewe mmoja tu anaye. Sasa na juzi namwambia amshauri baba yake amgawie urithi mapema watu tuyajenge mapema. Kaenda mwambia mzee wake kawa mkali.
Yaani anapewa ushauri wa kitaalamu na sisi wenye uelewa na elimu kubwa anakuwa mbogo. Sijui ana shida gani huyu mzee. Angetumia vizuri elimu yangu angefika mbali sana.
Mpaka leo hajashare pesa yake ya kiiunua mgongo na bintiye. Haya basi mpe nyumba moja ya urithi nayo hataki sasa sijui anataka akae zote yeye ili iweje. Simwelewi kabisa.