Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

Usilete siasa ndani ya kanisa! Papa ni mrithi wa kiti cha Petro hivyo ana mamlaka kamili ndani ya kanisa la Kristu. Mamlaka ya teuzi yanabaki kwenye kiti cha Mtume Petro, Wajibu wa waumini ni kujibidiisha kwenye imani zaidi sio kwenye siasa.
Suala hapa sio Siasa, ni MANTIKI

Hapo hakuna Demokrasia
 
Umemjibu vizuri sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujibu amejibu na mimi nikamjibu

Na Hata Ukatoliki ni serikali yenye Siasa

Kama una akili...zingatia Mantiki (Logic) sio unaburuzwa tu na siasa za Warumi wa kale

Ukimkuta Mama yako anafanya huu ujinga si unamtoa hapo?
View attachment 2786437
 
Kumheshimu Mama Maria kuna shida gani?
Mama aliyemzaa mnayemuita mkombozi? Yaani wewe ni Mkristu alafu hauheshimu namna huyo Kristu alivyokuja duniani[emoji3] Sasa wewe ni wa Kristu kweli kama haumuheshimu Mama wa Yesu?
Hapana, tatizo kuchonga sanamu yake na kuisujudia
 
Demokrasia ndiyo upuuzi gani?
Mungu angeendekeza demokrasia nadhani leo shetani angekuwa na mbingu yake, Na pangekuwa na Miungu mingi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama Demokrasia ni Upuuzi kwanini yeye Papa anapigiwa kura kidemokrasia

Mbona unajikanyaga?
 
Hapana, tatizo kuchonga sanamu yake na kuisujudia
Kwa hiyo fimbo inayobebwa bungeni / Siwa inapoinamiwa pale inapowekwa mahala pake, au sanamu za Nyerere na viongozi mashuhuri zinasujudiwa?
 
Unaweza kuweka Amri zote 10 za Mungu hapa, unioneshe mnaiyoifuata namimi nikuoneshe msizozifuata?

Ninyi mna Amri kumi za kwenye Katekisimo kama KKKT tu
Is not about nani anafuata au hafuati zipi..!! Hizo hizo unazotakiwa kuzifuata au kuzitekeleza, una demokrasia nazo..!!???
 
Kama Demokrasia ni Upuuzi kwanini yeye Papa anapigiwa kura kidemokrasia

Mbona unajikanyaga?
Sijasema demokrasia haifai kwa 100% ila siyo kila mahala inahitajika, Mungu aliweka amri 10 hakuhitaji kutoa demokrasia, Zamani walitawaliwa na wafalme na Mungu alibariki.Pia sidhani kama unaelewa vizuri taratibu za kumpata mrithi wa kiti cha Petro, Sio kura na demokrasia pekee kama unavyodhani ni utaratibu unaohusisha mambo mengi kiimani.
 
Zile ni "Amri" yaani Order

Pale hakuna Uongozi, wote mnapaswa Mtii sawa?

Lakini katika kumpata Papa kuna Demokrasia which is Good

Kwanini kuumpata Kadinali na Mapadri kusiwe na Demokrasia yaani wapigiwe kura na Wajumbe?
 
Kwa hiyo fimbo inayobebwa bungeni / Siwa inapoinamiwa pale inapowekwa mahala pake, au sanamu za Nyerere na viongozi mashuhuri zinasujudiwa?
Usimfananishe Mama wa Mungu na Nyerere au fimbo ya Bungeni[emoji1787]
 
Back
Top Bottom