Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

Mkuu ulichokieleza sio sahihi Mwijage ni jina lake la tatu/mwisho. Kwanini ni nadra kumkuta mhaya anaitwa Koku Tumgonze Rushakuzi.
Mkuu hebu kajifunze tamaduni za kihaya huko acha ubishi...mwijage ni jina lake la kwanza sio la ukoo...hakunaga ukoo wa mwijage...

Hao wapo pia wanaoitwa majina ya kihaya full...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndipo hata mimi huwa sielewi, Mama Maria ana nafasi gani zaidi kwenye Mamlaka tuliambiwa Mungu ndiye Mkuu, Yesu alitumwa kuja kutuokoa na alipoondoka aliacha Roho mtakatifu ndiye atusimamie, Je Maria anachukua nafasi ya nani?
Hayo ni mapokeo ya Catholic ukiyatafuta kwenye Biblia Takatifu hakuna.

Maria hawezi kutuombea hata siku moja,kazi aliyopewa ya kumzaa Yesu aliitekeleza vizuri na salama.Kumwongezea majukumu mengine ni kumwonea bure na kumtwisha mzigo usiokuwa wake.
 
Hayo ni mapokeo ya Catholic ukiyatafuta kwenye Biblia Takatifu hakuna.

Maria hawezi kutuombea hata siku moja,kazi aliyopewa ya kumzaa Yesu aliitekeleza vizuri na salama.Kumwongezea majukumu mengine ni kumwonea bure na kumtwisha mzigo usiokuwa wake.
KABISA.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Padre Jovitus Francis Mwijage wa Jimbo Katoliki la Bukoba kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba, leo tarehe 19.10.2023.

Mhashamu Askofu Mteule Jovitus Francis Mwijage alizaliwa Desemba 2 Mwaka 1966 Wilayani Misenyi, Jimbo Katoliki la Bukoba.

Baada ya masomo yake ya Upadre, alipata Daraja Takatifu la Upadre Julai 20 Mwaka 1997 Jimboni Bukoba, na kuhudumu katika nafasi mbalimbali za utume Jimboni Bukoba na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kama Mkurugenzi wa Mashirika ya Kipapa.

Imetolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Padre Charles Kitima.
KATIBU MKUU WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA.


View attachment 2786428
View attachment 2786430
Padre Jovitus Francis Mwijage
===============

CV OF FR. JOVITUS MWIJAGE
  • BIODATA
  • Born: 02-12-1966, Father, Francis Ndibalema and Mother, Francisca Kokwongeza
  • Sacraments of Initiation: Baptized, 11.1.1967, 1st Communion, 2.11.1975, Confirmation 27.12.1981
  • Nationality : Tanzania
  • Occupation: Priest
  • Marital Status: Celibate (Catholic Priest)
  • Place and date of Ordination: Bukoba-Ishozi Parish, 20.07.1997

  • EDUCATION
  • Preparatory year/ Kindergarten: Nteko Substation 1975
  • Primary School: Kyelima Primary school 1976-1981, Rutabo Preparatory Seminary 1981-1982
  • Secondary School/ High School: St. Mary Rubya Junior Seminary 1983- June 1989. ( ‘A’ Level 1st Division)
  • Philosophy: Ntungamo Philosophicum Seminary 1989-1992
  • Theology: Segerea Senior Seminary 1992-1997
  • Languages, Italian- Perugia University 2005
  • Germany language Course at Geineukirchen, in Linz Diocese, obtained a Certificate June – July 2005
  • Latin language Course in 2005-2006, at Gregorian University
  • French language Course, One Year course of French at Saint Louis de Francese in Rome, One Month Course at Paris at Alliance Francese, 2008.
  • Baccalaureate in the theology 1997, University of Urbaniana
  • Baccalaureate in Church History 2006
  • Licentiate in Church History and Patrimony of the Church, 2006-2008, Gregorian University in Rome
  • Doctorate in Church History and Patrimony of the Church, Gregorian University in Rome 2008-2011

  • PASTORAL EXPERIENCE
  • Teaching for one year (Year of formation) at Rutabo Preparatory Seminary: June 1989- June 1990
  • Pastoral Year: Rubya Seminary June 1995- June 1996
  • After Ordination, appointment, Assistant Parish Priest and financial administrator of Mwemage Parish , 1997-1998.
  • Rubya Seminary: 1999-2005; Teacher of History, Kiswahili, Latin, Geography and General study.
  • Appointed as Chaplain of Rubya Training Centre for 5 Months in 1999
  • Germany: Arch-dioceses of Freiburg at the parish of Constance -St. Gehbard, one month July 2008 and one month May 2011.
  • Austria: In Millistat Parish, assistant Parish Priest in all summers from 2006 to 2011.
  • February to November 2012 - 2023, Professor of Church History at Segerea Senior Seminary.
  • From November 2012 to 2023, Director of Pontifical Mission Societies in Tanzania
  • National Executive Secretary of UMAWATA (Association of diocesan Priests) 2012 - 2023
  • National Executive Secretary of Regional Board of Seminaries, Kipalapala, Kibosho, Ntungamo and Segerea 2012 - 2023
  • member of the Finance Committee of PMS (International Secretariat) representing African Continent National Directors from 2020 - 2023
Duuh...ila hapo kwenye kunyimwa *sex" ndio waliharibu....walinyimwa starehe kubwa sana...

Imagine yeye hatakuwa na wakumtaja milele ...Yaani akifa ndo basi
 
Hivi hii ni akili au matope?

Kama Babu zetu walivyombeba mkoloni leo hii Bado watu wazima na akili zao wanabeba Mbao mfano wa Mwanamke iliyopakwa rangi eti ni Maria

Watu weusi wana laana Mdeke_Pileme

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2786419
Mimi nishaaamua kuachana na dini. Nilikua katoliki nikahamia kkkt..ila nimeamua kuachana na dini naona ni utaahira. Hata nikioa mke wangu naenda naye kwetu meru namuoa kimila
 
Kuna nini na haya majina ya Wahaya
Florius
Antelius
Angelius
Desiserius
Blutus
Priscus
......
Ni utumwa tu. Majina ya wagiriki na warumi wa kale. Mzungu akitajiwa anajua mzungu mwenzake. Akija kutahamaki la haula kumbe kipisi kimoya blaki konki
 
Zile ni "Amri" yaani Order

Pale hakuna Uongozi, wote mnapaswa Mtii sawa?

Lakini katika kumpata Papa kuna Demokrasia which is Good

Kwanini kuumpata Kadinali na Mapadri kusiwe na Demokrasia yaani wapigiwe kura na Wajumbe?
Rais anapigiwa kura, makamu wa rais anateuliwa, mkuu wa mkoa, DC, DED MAWAZIRI wanateuliwa. Hao vipi ni sawa?
 
Rais anapigiwa kura, makamu wa rais anateuliwa, mkuu wa mkoa, DC, DED MAWAZIRI wanateuliwa. Hao vipi ni sawa?
Yaani Padri anazaa watoto na tunajua jana amelala kwa mchepuko na ni tabia yake then tunaletewa tu...Hapana, ni bora tumpigie kura tunayemwamini

Hata wale wanaompigia kura Papa ni wanamfahamu vizuri
 
Bora hao KKKT wana Demokrasia, na wanachaguana miongoni mwa Watanzania

Huyu Muargentina ndiye anayewateua Mapadri na Kadinali?
View attachment 2786418
Awa wazungu wafuasi wa Paulo alie mkataa yesu na kuwauwa wanafunzi wake kishi akaibukia uzunguni na kusema amekutana yesu ambaye ni Mungu yeye kampa cheo cha utume ifahamike wayahudi walimkataa yesu wakirito usema yakuwa wayahudi ndio walio muua Mungu wao yesu kisha kumtundika msalabani wote awa wayahudi na wakirito walimkataa yesu,wasilamu ndio walio mkubali tu wote waongo tu wauaji tu ukiwapinga
 
Yule aliyekuwepo anahamia wapi au wanakuwa wawili kwenye kanisa moja
Aliyekuwepo amestaafu kwa umri. Atabakia jimboni hapo hapo akifanya kazi za hapa na pale. Lakini kiongozi rasmi wa jimbo ni huyu mpya.
 
Back
Top Bottom