Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

Mkuu ulichokieleza sio sahihi Mwijage ni jina lake la tatu/mwisho. Kwanini ni nadra kumkuta mhaya anaitwa Koku Tumgonze Rushakuzi.
Mkuu hebu kajifunze tamaduni za kihaya huko acha ubishi...mwijage ni jina lake la kwanza sio la ukoo...hakunaga ukoo wa mwijage...

Hao wapo pia wanaoitwa majina ya kihaya full...

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndipo hata mimi huwa sielewi, Mama Maria ana nafasi gani zaidi kwenye Mamlaka tuliambiwa Mungu ndiye Mkuu, Yesu alitumwa kuja kutuokoa na alipoondoka aliacha Roho mtakatifu ndiye atusimamie, Je Maria anachukua nafasi ya nani?
Hayo ni mapokeo ya Catholic ukiyatafuta kwenye Biblia Takatifu hakuna.

Maria hawezi kutuombea hata siku moja,kazi aliyopewa ya kumzaa Yesu aliitekeleza vizuri na salama.Kumwongezea majukumu mengine ni kumwonea bure na kumtwisha mzigo usiokuwa wake.
 
Hayo ni mapokeo ya Catholic ukiyatafuta kwenye Biblia Takatifu hakuna.

Maria hawezi kutuombea hata siku moja,kazi aliyopewa ya kumzaa Yesu aliitekeleza vizuri na salama.Kumwongezea majukumu mengine ni kumwonea bure na kumtwisha mzigo usiokuwa wake.
KABISA.
 
Duuh...ila hapo kwenye kunyimwa *sex" ndio waliharibu....walinyimwa starehe kubwa sana...

Imagine yeye hatakuwa na wakumtaja milele ...Yaani akifa ndo basi
 
Mimi nishaaamua kuachana na dini. Nilikua katoliki nikahamia kkkt..ila nimeamua kuachana na dini naona ni utaahira. Hata nikioa mke wangu naenda naye kwetu meru namuoa kimila
 
Kuna nini na haya majina ya Wahaya
Florius
Antelius
Angelius
Desiserius
Blutus
Priscus
......
Ni utumwa tu. Majina ya wagiriki na warumi wa kale. Mzungu akitajiwa anajua mzungu mwenzake. Akija kutahamaki la haula kumbe kipisi kimoya blaki konki
 
Zile ni "Amri" yaani Order

Pale hakuna Uongozi, wote mnapaswa Mtii sawa?

Lakini katika kumpata Papa kuna Demokrasia which is Good

Kwanini kuumpata Kadinali na Mapadri kusiwe na Demokrasia yaani wapigiwe kura na Wajumbe?
Rais anapigiwa kura, makamu wa rais anateuliwa, mkuu wa mkoa, DC, DED MAWAZIRI wanateuliwa. Hao vipi ni sawa?
 
Rais anapigiwa kura, makamu wa rais anateuliwa, mkuu wa mkoa, DC, DED MAWAZIRI wanateuliwa. Hao vipi ni sawa?
Yaani Padri anazaa watoto na tunajua jana amelala kwa mchepuko na ni tabia yake then tunaletewa tu...Hapana, ni bora tumpigie kura tunayemwamini

Hata wale wanaompigia kura Papa ni wanamfahamu vizuri
 
Bora hao KKKT wana Demokrasia, na wanachaguana miongoni mwa Watanzania

Huyu Muargentina ndiye anayewateua Mapadri na Kadinali?
View attachment 2786418
Awa wazungu wafuasi wa Paulo alie mkataa yesu na kuwauwa wanafunzi wake kishi akaibukia uzunguni na kusema amekutana yesu ambaye ni Mungu yeye kampa cheo cha utume ifahamike wayahudi walimkataa yesu wakirito usema yakuwa wayahudi ndio walio muua Mungu wao yesu kisha kumtundika msalabani wote awa wayahudi na wakirito walimkataa yesu,wasilamu ndio walio mkubali tu wote waongo tu wauaji tu ukiwapinga
 
Yule aliyekuwepo anahamia wapi au wanakuwa wawili kwenye kanisa moja
Aliyekuwepo amestaafu kwa umri. Atabakia jimboni hapo hapo akifanya kazi za hapa na pale. Lakini kiongozi rasmi wa jimbo ni huyu mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…