Baba mtoto kanitelekeza

Miaka minane uko na mlevi anaefukuzwa kazi kila siku
Halafu anakuomba muuwe kichanga muendelee na mapenzi yenu daa
Dunia hii kuna watu huwa hata ushauri wanaukataa na hawaulizi wazazi yaani wanakuwa vipofu wa mahaba

Kwa ushauri ukimpenda mtu ujue weaknesses zake kama yuko ok basi haraka aende kwa wazazi
Au huwa hamna wazazi?
Sio kwa ubaya ila ni vizuri kuolewa kuliko kukaa na mahusiana miaka kibao na sababu huwa sijui kwa kweli
Maisha mafupi sana haya kama unaona ana tabia za kishenzi piga chini songa mbele
Muwe mnashirikisha hata na mama zenu bila kuwaficha maana mama atakupa ushauri mzuri kuliko rafiki
 
Hongera sana Mkuu! Maisha lazima yasonge ..huyo achana nae we lea mtoto wako kama ndoa ipo ipo tuu…
Hongera sana wewe pambana kivyako kama ataamua kurudi utaamua mwenyewe ! Uzuri una kazi achana na mawazo ya kusema umetelekezwa….!
Hongera sana
 
Duu…
 
Hii ndio sababu kubwa inayonifanya niwe proud kuwa mbali naye. Ninaamini nikijitahidi kumlea Kwa msaada wa Mungu kuliko baba yake, itakuwa vema kwa ajili yake.
 
Nimependa hapo mwishoni ulivojifariji na kibendi chako, wanaume hatukosei wa kuzaa nao, ukiona tumelea mimba tumeuelewa mziki ujue unafaa kuwa maza hausi
 
Ana uhakika ila ni muoga sana wa maisha. Ni kawaida yake kuwapa wanawake zake dawa za kuua watoto Kwa kisingizio kuwa hana maisha. Aliwahi kuwa na mtoto mmoja ambaye hajui ada wala chakula. Kiufupi ni mtu asiyependa majukumu. Yeye anachojua ni pombe.
Na umedumu naye miaka 8 yote....na mimba ukabeba?
Hapo mkizaa mnatengeneza bond ambayo haifutiki....mtoto atawaunganisha mtake msitake
 
Umesema kakutelekeza maana yake alikuwa responsible kipindi fulani...sasa inawezekana kuna tabia zako bado zinamfukuza mbali na wewe,inawezekana uchumi wake haupo stable kwa kipindi hiki(ufumilivu huna)..kingine kutakuwa na mambo kadha ya kadha umeficha nyuma ya pazia...may be ulevi wake ulisababishwa na mamno yenu kipindi fulani,ukimkuta sasa hivi sio mlevi basi ujue we ulihusika kuwa chachu ya ulevi wake.

Na kama kweli ulikuwa unampenda ulifanya juhudi gani kama maombi,ushauri ya yeye kuachana ulevi...?

Nakutabiria from January atakutumia matumizi na pia nakushuri kama atahitaji mtoto wake mpatie maana umesema huna feeling naye tena.

Pia, ongera sana kwa kufanya maamuzi ya busara wa kumzalia mtoto.
 
Sio Kukaa tu, kukaa na kuchanua miguu hadi ujauzito akapata. Hawa wanawake bhn, hawajui nini wanataka kiukweli
Hakuna sehemu niliyosema ilikua Bahati mbaya mkuu. Siku hizi wanawake tunajitambua ila wanaume waliobaki Ni wachache mno.
 
Mama Mtoto naona umekuja kunisema!

Karibu Burindi.
 
Aise
Njoo tulee mtoto pamoja mama
 
Eti focus focus,, ya nk... Huyo soon anakuja kuomba msamaha ba hautachomoa, na ndio utakuwa mwisho wa hiyo focus
 
Mtoa mada
Ajira ulonayo na Mtoto visikudanganye,
Hili kosa ulofanya utalijutia sana maishani[emoji29]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…