Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Miaka minane uko na mlevi anaefukuzwa kazi kila siku
Halafu anakuomba muuwe kichanga muendelee na mapenzi yenu daa
Dunia hii kuna watu huwa hata ushauri wanaukataa na hawaulizi wazazi yaani wanakuwa vipofu wa mahaba
Kwa ushauri ukimpenda mtu ujue weaknesses zake kama yuko ok basi haraka aende kwa wazazi
Au huwa hamna wazazi?
Sio kwa ubaya ila ni vizuri kuolewa kuliko kukaa na mahusiana miaka kibao na sababu huwa sijui kwa kweli
Maisha mafupi sana haya kama unaona ana tabia za kishenzi piga chini songa mbele
Muwe mnashirikisha hata na mama zenu bila kuwaficha maana mama atakupa ushauri mzuri kuliko rafiki