Baba mtoto kanitelekeza

Sasa mbona unamkaripia hivyo mke wangu chaukimya , basi tumwite na jamaa yake ili tusikie kutoka pande zote mbili
 
Butin your description you did a judging a book by its cover and now umetendwa.

Usimtumainiye Mwanaume sana. Stand your ground
Wewe ulinijudge Kwa maandishi.
Mimi simtumainii yeye na wala sikuwahi kumtumainia yeye. Hayo yaliyotokea ni kawaida sana.
 
Wewe ulinijudge Kwa maandishi.
Mimi simtumainii yeye na wala sikuwahi kumtumainia yeye. Hayo yaliyotokea ni kawaida sana.
Ni kweli nimekujudge kwa maandishi kwani wewe ndo uliandika mkeka labda useme ulitunga story kufurahisha genge.

Unapoandika tegemea kukosolewa ama kusifiea. Mimi nasema umechemsha. Na ukidhani kutafunana kabla ya ndoa ni tunu basi ndo umechemka bigtime.

Nakemea vikali ngono kabla ya ndoa
 
No Sina mpango wa kusifiwa but it seems unaongea mradi or otherwise ungeelewa point yangu.
Mtazamo wako kuwa nimekosea au nimepata, it doesn't matter kwangu. Wala sikukukosoa kwa mtazamo wako hasi. My point was wewe kujudge. Hujui mbeleni kwangu kuna nini na kwanini haya yametokea.
Siogopi challenge yoyote ninayokutana nayo sababu kwangu naichukulia ni +situation.
So go ahead 😊
 
Nimeshakujibu kwenye previous posts
 
Halafu baadaye mnaanza kusumbua kutaka watoto [emoji16]
Ndio walivyo. Wengi wao huwa wanasubiri wamejizeekea na hela hawana ndio wanaanza kuja kujidai wanadai watoto na hasa watoto waliojipata.
 
Nilidhani unalamika kumbe una raha zote. Siku hizi mwanamke kulalamika kuhusu mapenzi ni marufuku. Big up!
 
Nilidhani unalamika kumbe una raha zote. Siku hizi mwanamke kulalamika kuhusu mapenzi ni marufuku. Big up!
😊 Silalamiki dear. Nimependa kushare na baadhi wanaopitia situation kama hizi, wasihisi unaongea au kuwa watumwa na kufanya Yale mioyo yao inakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…