mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa yaliyonikuta sitamani hata kuona wanawake wala kuwa mshauri wa mapenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa yaliyonikuta sitamani hata kuona wanawake wala kuwa mshauri wa mapenzi
Sasa mbona unamkaripia hivyo mke wangu chaukimya , basi tumwite na jamaa yake ili tusikie kutoka pande zote mbiliSingle mothers mara nyingi wao ndo wazinguaji,hawawezi kutulia, inawezekana huo ulevi unatokana pia na wewe kumpa stress huyo jamaa.
Maisha ni uvumilivu hamna aliyekamilika, heri hata shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua.
By the way maamuzi ni yako mwanaume hawezi kubadilika tu na kufukuzia wanawake wengine bila kuwa kuna mapungufu aliona kwako au ameona we siyo mtu sahihi hata wa kuzaa naye ndo maana hatua ya mwanzo alikuambia itoe.
Yamekukuta nini tupe uzoefu mkuuKwa yaliyonikuta sitamani hata kuona wanawake wala kuwa mshauri wa mapenzi
Goodgirl ndo maana nakupenda kitoto changu😘Sawasawa
Goodgirl ndo maana nakupenda kitoto changu😘
Meaning?Never judge a book by its cover
Go find out 😊Meaning?
Butin your description you did a judging a book by its cover and now umetendwa.Go find out 😊
Wewe ulinijudge Kwa maandishi.Butin your description you did a judging a book by its cover and now umetendwa.
Usimtumainiye Mwanaume sana. Stand your ground
Ni kweli nimekujudge kwa maandishi kwani wewe ndo uliandika mkeka labda useme ulitunga story kufurahisha genge.Wewe ulinijudge Kwa maandishi.
Mimi simtumainii yeye na wala sikuwahi kumtumainia yeye. Hayo yaliyotokea ni kawaida sana.
No Sina mpango wa kusifiwa but it seems unaongea mradi or otherwise ungeelewa point yangu.Ni kweli nimekujudge kwa maandishi kwani wewe ndo uliandika mkeka labda useme ulitunga story kufurahisha genge.
Unapoandika tegemea kukosolewa ama kusifiea. Mimi nasema umechemsha. Na ukidhani kutafunana kabla ya ndoa ni tunu basi ndo umechemka bigtime.
Nakemea vikali ngono kabla ya ndoa
Nimeshakujibu kwenye previous postsNo Sina mpango wa kusifiwa but it seems unaongea mradi or otherwise ungeelewa point yangu.
Mtazamo wako kuwa nimekosea au nimepata, it doesn't matter kwangu. Wala sikukukosoa kwa mtazamo wako hasi. My point was wewe kujudge. Hujui mbeleni kwangu kuna nini na kwanini haya yametokea.
Siogopi challenge yoyote ninayokutana nayo sababu kwangu naichukulia ni +situation.
So go ahead 😊
Ambayo sikuuliza pia...Nimeshakujibu kwenye previous posts
PoleeAmbayo sikuuliza pia...
Polee
Ndio walivyo. Wengi wao huwa wanasubiri wamejizeekea na hela hawana ndio wanaanza kuja kujidai wanadai watoto na hasa watoto waliojipata.Halafu baadaye mnaanza kusumbua kutaka watoto [emoji16]
😊 Silalamiki dear. Nimependa kushare na baadhi wanaopitia situation kama hizi, wasihisi unaongea au kuwa watumwa na kufanya Yale mioyo yao inakataa.Nilidhani unalamika kumbe una raha zote. Siku hizi mwanamke kulalamika kuhusu mapenzi ni marufuku. Big up!