Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Jamani 😃😃, Kwan utoto mwisho miaka mingapi😌😌Kumbe wewe bado katoto?! Itabidi niache kuchangia thread za mtoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani 😃😃, Kwan utoto mwisho miaka mingapi😌😌Kumbe wewe bado katoto?! Itabidi niache kuchangia thread za mtoto.
Ni kweli, maadam ameshajitambua basi ni jambo jemaMmh labda maana miaka kapoteza mingi sana
Mapenzi hayana ushujaa mkuu hata kama umestaafu unaweza ukatoa machozi kwa kitoto cha form 1 ruge na ujanja wake wote ila alitoa machozi kwa zamaradi bila aibu.Mbona mnatutisha sasa, miaka 32 bado mnasumbuka na mapenzi [emoji848][emoji848]
Ni kweli sometimes ni mazoea tu ,kuchepuka kupo lakini kila mtu ana mtu wake wa kudumu, huyo ni baba mtoto haitoi wako hiyo historia haifutiki na kuna bond tayari kati yenu ambaye ndo huyo mtoto haikwepeki, sometimes ni vizuri kukaa chini na siyo kiburi, ila kama mlikutana type kila mtu ni kiburi kazi ipo.Ni kweli lakini mnachoshangaza, ukiona huyu akufai, unamganda ili iweje? Why wasting ur time? Ama unakua na watatu, wote pia Wana shida?
Mara nyingi mwanamke atabadilika kutokana na vile unavyomlazimisha awe. Atakuheshimu kama utamuheshimu. Atakujali kama utampenda. Ukifanya tofauti, tutakulipa mara mbili yake. Kwa hiyo Kwa sasa sina hisia zozote kwake. Ingawa ameshaomba radhi mara kadhaa. Ila sioni haja ya uwepo wake kwangu.Ni kweli sometimes ni mazoea tu ,kuchepuka kupo lakini kila mtu ana mtu wake wa kudumu, huyo ni baba mtoto haitoi wako hiyo historia haifutiki na kuna bond tayari kati yenu ambaye ndo huyo mtoto haikwepeki, sometimes ni vizuri kukaa chini na siyo kiburi, ila kama mlikutana type kila mtu ni kiburi kazi ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli nimeanza kuamini mapenzi hayana umriMapenzi hayana ushujaa mkuu hata kama umestaafu unaweza ukatoa machozi kwa kitoto cha form 1 ruge na ujanja wake wote ila alitoa machozi kwa zamaradi bila aibu.
Ana uhakika ila ni muoga sana wa maisha. Ni kawaida yake kuwapa wanawake zake dawa za kuua watoto Kwa kisingizio kuwa hana maisha. Aliwahi kuwa na mtoto mmoja ambaye hajui ada wala chakula. Kiufupi ni mtu asiyependa majukumu. Yeye anachojua ni pombe.pole sana dada na hongera kwa msimamo huo, ila jamaa kama hajiamini hivi kama ndo amekupa katoto? au ni mawazo yangu tu? .baadae jiandae kwani atakusumbua kuhusu kudai mtoto.
Kuhusu kuzaa inaonyesha alikukataa kitambo ila umeamua kuforceA very proud single mother. Siwez mwaga damu ya mtoto kisa mwanau me hata siku moja.
Sasa kwa nini ulijiingiza kwenye maisha ya mtu disign hiiAna uhakika ila ni muoga sana wa maisha. Ni kawaida yake kuwapa wanawake zake dawa za kuua watoto Kwa kisingizio kuwa hana maisha. Aliwahi kuwa na mtoto mmoja ambaye hajui ada wala chakula. Kiufupi ni mtu asiyependa majukumu. Yeye anachojua ni pombe.
Mkiambiwa msimvulie mtu chupi mpaka muoane kihalali hamtaki.Habarini?
Ninaomba nieleweke kwamba mimi si mgeni, nimekua nikisoma mijadala mbalimbali lakini leo nami nimewiwa nilete kisa changu ambacho ninaamini kwa namna moja au nyingine kitawasaidia watu kadhaa.
Mimi mwanamke wa miaka 32, nimeajiriwa mahala Fulani. Kiukweli, nilikua kwenye mahusiano Kwa muda mrefu sana tangu nikiwa chuo hadi hivi majuzi. Hali ya mahusiano yetu yalikua ya kusuasua mno. Leo mko poa, kesho majanga hali ambavyo ilinikatisha tamaa sana. Ingawa jamaa alinitamkia ndoa wakati Fulani lakini binafsi kwa tabia za jamaa, sikuona hata kivuli endapo tungefunga ndoa.
Mwenzangu kwanza ni mnywaji sana wa pombe kiasi kwamba mara kadhaa ilimletea shida kwenye ajira yake na alisimamishwa mara nyingi sana. Mbali na hiyo, ni mtu ambaye bado hajui anataka nini. Leo mtapanga hiki, kesho mtagombana muanze upya so mnakua mara kadhaa hakuna mtakachokamilisha.
Mara nyingine anadai anataka kuoa mtu wa kabila lake, mara anaweza kuanzisha mahusiano na vitoto vya chuo ingawa yeye ana 36 years.
Kwa mahusiano yetu ya miaka Zaidi ya nane, hatukuwai kujaliwa mtoto ingawa jamaa alinitamkia mara moja akisema ananiacha sababu simpi mtoto then baadaye akaomba msamaha na maisha yakaendelea.
Mungu si Athuman! Mwezi wa tano nilijigundua ni mjamzito. Nikamshirikisha mwenzangu ambaye hakuwa na furaha nayo kabisa. Akanishauri sana tutoe tukizingatia bado tunajitafuta and blablabla.
Kiukweli mimi nilifurahi mno nilipojigundua ni mjamzito. Hata wazo la kutoa sikua nalo kichwani. Niliamua moyoni hata kama jamaa ataamua kuondoka lakini priority ya kwanza ni mtoto wangu.
Kweli, jamaa alihangaika sana kunishawishi kutoa ili tuendeleze mahusiano (ambayo hayana dura) nikaamua kuweka msimamo wangu kwamba akijisikia kuondoka, aondoke ila mtoto kama lolote likitokea basi liwe limepangwa na Mungu ila sipo yeye. Aliamua kuondoka na wala sikujushughulisha naye kabisa.
Ninamshukuru sana Mungu kwa kunisaidia safari yangu ya ujauzito hadi sasa, hakuna kilichonisumbua. Kiukweli, nina furaha na amani zote, sielewi ni kwa nini. Nimejikuta natamani kuwaambia wanawake wenzangu, wasikubali kuendeshwa na wanaume wa namna hii ili kuendeleza mahusiano.
Focus na unachokichagua kwani hata ningetoa, sio kweli kwamba mahusiano yangeboreka, tena yangekua mabaya zaidi. Ninamshukuru sana na niwatakie jioni njema.
Mmhh!Habarini?

Kuna muda mtu analeta kisa chake sio kwa ajili ya msaada.Mkiambiwa msimvulie mtu chupi mpaka muoane kihalali hamtaki.
Umelikoroga ulinywe sasa. Unafikiri utasaidiwa nini kwenye mitandao ya kijamii?
Nenda ustawi wa jamii.
Ningeforce Si ndio ningemtumia mtoto kumlazimisha abaki! Au ningetoa ili abaki kama anavyodai.Kuhusu kuzaa inaonyesha alikukataa kitambo ila umeamua kuforce
Mmhh!
There must be something wrong on your side. Mmeishi miaka minane bila kupata mtoto, sasa hivi umepata ujauzito halafu ghafla tu mwanaume akuambie kwamba utoe ujauzito na kisha baadaye akukimbie eti kwa sababu hutaki kutoa ujauzito??!!!? Is it possible under normal circumstances? Nina mashaka makubwa sana juu ya maelezo yako, utakuwa umetificha mambo Fulani Fulani ili tusiju
I wish ungefahamu wanaume wa aina hii wasiojua nini wanahitaji kwenye maisha yao.Mmhh!
There must be something wrong on your side. Mmeishi miaka minane bila kupata mtoto, sasa hivi umepata ujauzito halafu ghafla tu mwanaume akuambie kwamba utoe ujauzito na kisha baadaye akukimbie eti kwa sababu hutaki kutoa ujauzito??!!!? Is it possible under normal circumstances? Nina mashaka makubwa sana juu ya maelezo yako, utakuwa umetificha mambo Fulani Fulani ili tusijue.
Inakuaje uwe na mahusiano na mwanaume asiyejua anataka nini kwa miaka nane na mimba umeamua umbebee?I wish ungefahamu wanaume wa aina hii wasiojua nini wanahitaji kwenye maisha yao.
Unaweza ukaamini chochote ila ujue tunatumia majina fake, hatuna haja ya kuficha kama mtu anaamua kusema yaliyomsibu.
Sasa kwanini ubebe mimba kimyakimya bila kumshirikisha mwenzio?Ningeforce Si ndio ningemtumia mtoto kumlazimisha abaki! Au ningetoa ili abaki kama anavyodai.
Una uhakikaKwakweli nimeanza kuamini mapenzi hayana umri