Baba " mwanangu upo tayari taratibu za ndoa ziendelee'' @Etugrul bey" ndio baba''

Niliwahi kuwa katika mahusiano ya namna kama hiyo ilikuwa ni shida kubwa sana. Meanzoni mambo yalikuwa mazuri show inapigwa hadi Binti akikaa anacheka tu mwenyewe, ukimuuliza anakwambia nimekumbuka tu venye unanifanya vizuri hadi huku chini kunatamani kuongee kukushukuru.

Tatizo lake ni kauli mbovu na lugha chafu. Akikasirika hachagui neno la kukuambia anaropoka tu, ile hali ilikuwa inanipa tabu sana kuweza kuivumilia. Nilifanya kila namna kumueleza lakini alirudia tabia ile mara kwa mara.

Mwili na hisia zangu kwake vikapoa kama barafu, nikakosa stamina nikapoteza hamu ya kuwa naye mwishowe akawa ananituhumu kuwa namsaliti. Nilibwaga manyanga nikatembea nikasonga mbele.

Akina mama chungeni sana kauli zenu kwa waume zenu zinakata sana stimu kauli chafu
 
Hata huyu wa pili utamwacha tu, note my words.
 
Daah pole Sana mkuu... at least umeshare nawe uzoefu wako.....Yan wewe ndo unanielewa vizur Sana coz umepitia hayo mazingira....kama unavyosema imekula kwetu Kwa kuwapoteza wake Bora kabisa kupata kutokea
 
Mademoiselle Kwanza pole najua kama mwanamke lazima itakugusa Sana....lkn ndo sehemu ya Maisha,sijitetei Kwa yaliyotokea lkn yatosha kusema yalitokea yamekwishatokea tayar....

Kubwa ni kumuombea binti yako Tu apate mtu sahihi....lkn usiweke Imani kwenye usister....wale ni binadamu kama wengine na amini usiamini wanaliwa Sana Tu na wengine wanazalishwa kisiri kisiri na watoto wanapelekwa ktk nyumba za kulelea watoto yatima, kuna sister mmoja wakati tupo chuo mbona alikuwa analiwa Tu na mwanafunzi mwenzetu
 
Mkuu siwezi kubisha hoja yako moja Kwa moja hayo mambo huwa yapo.......na siwezi kumtetea moja Kwa moja kuwa Ni msafi Sana....lkn nasema kile ambacho nimemuona...Kwanza wanawake wakikunwa vizur huko nje lazima watabadilika Tu amini usiamini unajua Kwa nini?

Wanawake hawawezi kuonyesha upendo Kwa wanaume wawili kuna mmoja lazima atadharauliwa Tu tofauti na Sisi wanaume tunaweza kuwa na totoz mbili au tatu lkn hatuonyeshi tofauti yoyote Ile....nadhan unakumbuka story ya Yule baharia WA kichina aliyekuwa na totoz 15 na wote walikuwa hawajijui....alipoapata ajali akiwa amelazwa ndo Siri ikafichuka...ili trend Ile habar......sikuwahi ona dharau zozote zile,tena afadhali dharau ambayo utaonyeshwa kama huna hela kuliko dharau ambayo anakunwa vizur na bahasha wake.

Pili ana maumbile ambayo yapo tight....tangu nimemuoa mpaka namuacha yupo vile vile kama angekuwa ana mwamba mwingine lazima ningeona tofauti Tu coz tunatofautiana size unless labda jamaa huyo alikuwa na size ndogo kuliko yangu...

Tatu anaogopa Sana kuzini Yule mwanamke....Hilo nalo huenda limesaidia....lkn haya ni kutokana na uzoefu wangu kwake.
 
Huyu wa pili mtaachana mkuu na hata kama hamtaachana ila mwisho utaigiza tena ili usionekane Acha Acha...
Why?

Utatumia vigezo vya u wife material vya yule wa mwanzo kumpima huyu wa sasa hivi ambaye unadhani unampenda kumbe mazingira ya nje ndo yamekuvutia na hapo ndo patakuwa pabaya. Utatamani mrudiane lakini utakuwa umechelewa sanaaaa atakuwa ashapatikana mstafu aliyefiwa na mkewe ambaye atamuweka pahala pazuri hadi kujutia alichelewa wapii.
 
Hata huyu wa pili utamwacha tu, note my words.
Mamndenyi tafadhali Tema mate Chini pliiz....sijakurupuka kuwa na huyu wa pili.....kuna vigezo ambavyo huwa naviangalia Kwa mwanamke Kwa mke WA ndoa....hata huyo niliyemwacha si kwamba nilimvamia Tu laa! Kuna vitu flani nilimuona navyo ndo maana nikaona ni wife material....tatizo tu hisia zilinisaliti
 
Nakadori unaweza kuwa sahihi lkn naweza kukupinga Kwa kiasi Fulani......najua watu hawafanani na itakuwa kosa kubwa nikiwafananisha kwasababu nikifanya hivyo ujue sitaweza oa tena.....Mimi ni mtu ambaye linapokuja swala la kuoa kiukweli muonekano wa nje ingawa ni muhimu lkn sio kigezo Kikubwa Sana kushinda Tabia ya mwanamke....kwasababu najua UZURI WA mwanamke unadumu Kwa miezi mitatu Tu...yaani dem hata awe mkali kiasi gani ndani ya miezi mitatu ushamzoea na uzoefu unasema hivyo.....hujawahi ona mwanaume ana mke mzuri kweli lkn unashangaa Hana mpango nae mpaka watu wanajiuliza jamaa VIP Yule....kwahiyo UZURI huwa unaisha kinachofuatia ni Tabia ndio inaleta upendo
 
Mkuu mbalizi1 usemayo ni kweli kabisa....hakika kauli nazo za wake zetu ni mtihani Sana....na wanawake bwana wana kauli Kali Sana,yaani anaweza kuongea neno moja Tu linakata kama kitu....sasa ukiwa sio mvumilivu ndoa inakushinda...ndio maana kuna watu miezi mitatu ndani hakukaliki....inabidi wajitathimini Sana kwakweli kama wanapenda ndoa zao
 
Sasa mbona umekuwa kama Gündoğdu 😂

Umeusikilza moyo kuliko akili, wa kwanza ndio mke.
Kaka yaan kabla sijafanya uamuzi huu mgumu nilifanya tafakuri ya kina Sana...nikaangalia faida na hasara ya uamuzi nitakao ufanya na mwisho wa siku nikaja na huo uamuzi.....niliogopa kuchukua maamuzi ambayo yangenifanya nijute baadae....kwahiyo sijutii maamuzi niliyo yafanya hata kidogo, ni faida kwangu Mimi na Kwa mwenzangu pia,anastahili furaha pia kama Mimi ninavyostahili pia.

Kuna kipindi aliniambia sasa hubby nipo kwenye ndoa kama sipo kwenye ndoa vile...nipo kwenye ndoa lkn siliwi ipasavyo Yani Bora nisingekuwa kwenye ndoa walau ningejua sijaolewa bado...ebu cheki kauli kama hiyo ni ndogo lkn ina ujumbe mzito Sana mkuu....kifupi bado nimesimama kama bey asilimia 100
 
Sasa kama swala ni tabia mbona unatuaminisha kwamba hata huyo dada wa watu alikuwa na tabia njema?
 
Mi nawaambia daily humu,oaneni mkiwa mmependana...Watu Oo,mara ee.Haya sawa
Kupendana ni hali ya kuona mazuri kwenye mabaya. Ukweli ni kwamba ukitaka kuweza kuishi vyema na mtu yakubali madhaifu yake kwan mazuri yake ni mepesi kuyakubali. Ukiona madhaifu yake ni magumu kwako kuyahimili, juu sio chaguo la akili na moyo wako.
Mkiendana:
1. Hisia
2. Mitazamo
3. Tabia
Itawawia wepesi kuishi kwa kubebeana na kuchukuliana.
 
Kwasisi tusio na moyo wa kupenda unatushaurije??

Yaani mimi kumpenda mtu kwa 100% hata walau 70% siwezi kabisa yani kwa siku hizi.
Miaka kadhaa nyuma nilikua napenda kweli lakini saivi nshasahau ukipenda unakua unahisi vipi.

Kuoa kwangu ni kipengele kingine.
 
Hebu nipe mimi huyo mke mzee. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…