Baba " mwanangu upo tayari taratibu za ndoa ziendelee'' @Etugrul bey" ndio baba''

Usinge muacha mkuu dawa ya hiyo hali ni K -VANT ndogo alafu unasuuzia na kilimanjaro tatu baridiii

Baada hapo hakuna tena swala la cjui simpendi cjui sina hisia ni mwendo wa kuchakata tuuu
 
Usinge muacha mkuu dawa ya hiyo hali ni K -VANT ndogo alafu unasuuzia na kilimanjaro tatu baridiii

Baada hapo hakuna tena swala la cjui simpendi cjui sina hisia ni mwendo wa kuchakata tuuu
Kwa,mwendo huo angekuja kuwa mlevi hoy hoya
 
Tatizo la kisaikolojia huwa Lina sababu zake na mara hizo sababu zinapoondoka basi tatizo nalo hutoka.....sababu nilikuwa na mke nisiye mpenda ndio ikapelekea matatizo hayo Kwa maana hisia zangu zilifubaa au Kwisha kabisa....na hii hata Kwa wanandoa ambao kutwa kucha ni ugomvi Tu hupatwa na tatizo hili..lkn hawa kwakuwa wanapendana ni rahisi kurekebisha hiyo Hali....lkn kwangu Mimi sikumpenda mke wangu kwahiyo huwezi lazimisha kumpenda mtu hata kidogo....nimepona boss

Na ndoa sio adhabu kwamba ukiingia ni gereza kwamba hautoki....ndoa lengo lake ni kutoishi kama wanyama Kwa maana ya kusex ovyo Bila nidhamu maalum....ni mpango wa mungu Kwa mwanadamu aishi Kwa heshima na kujenga familia....lkn familia yenye upendo na Amani.

Kuna ndoa ambazo wanandoa wamegawana vyumba je ndio kusudio la ndoa Hilo? Hapana kwahiyo ndoa kama hiyo ni Sawa na adhabu tu
 
Mkuu ertugrul nae ana moyo....kuna jamaa mmoja ameongea point Sana kuwa....ukiona madhaifu ya mwenzako ni mazito kuyabeba basi ujue,Hilo sio chaguo lako la moyo na akili....nakubaliana na point yake

Kwenye mapenzi panatumika akili na Moyo mkuu
Kwa mwanaume hisia zikitumika saana kuliko akili ni sawa na chuma kwenye maji kitazama tu, ni mpaka kifanyiwe maujanja kiwe meli mdio pona pona yake.

Jitahidi kuitumia akili zaidi kuliko hisia kaka, sisemi umekosea saana sababu sijaona maelezo ya kina kuhusu huyu mpya, ila kwa maelezo yako wa zamani ndio alikuwa "MKE MKEO"

ukihesabu ulichobakiza pasina kuhesabu ulichopoteza, huwezi kuona hasara.
 
Basi labda nimejichanganya mkuu....nilimaanisha Tabia na mwonekano lazima viende sambamba....shukrani Kwa kuniweka sawa
 
Sio naogopa kupenda, sijui kupenda.

Kila nnaekua nae namuona wa kawaida na wa kupita tu. Sina ile ya kua na malengo ya muda mreefu coz mpango wa ndoa kwa sasa upo kando.
Sawa kila kitu na wakati wake mkuu..ukifika utapenda Tu so relax kaka
 
Sawa Kaka huo ni mtazamo wako na maoni yako....hivyo siwezi kukupinga mkuu
 
Unajua mwanaume anapenda mwanamke mwenye amsha amsha na asil ya umalaya kiasi yaan kwa bedi uwe na manjonjo haswaa

Wanawake wema wengi wanakasoro ya kitandani wavivu hawapend kujifunza mambo ya kitandani

Wao wako bize na mapishi malezi usafi na heshima ndio maana wakiachika watu wengi husikitika Sana kwan kitabia Kila mtu amemkubali
 
Bora baadhi ya anaume wenzangu mmefunguka,na baadhi ya wadada mmeona tulivyo,kwakweli hata mimi nainjoi sana,kufanya mapenzi na mdada ambaye nina hisia naye na hata kupendelea kumuoa.
Kauli za baadhi ya wadada na TABIA zao mbaya nazo ni changamoto sana,ukichanganya na kukosekana kwa hisia,aaah! hakuna muendelezo wa mapenzi.
Tuoe tuwapendao haswaaaa.
 
Huo ni wimbo wa Taifa, yametukuta wengi lakini sometimes ni hisia mbovu tuu au kufikiria kuna bora zaidi upande mwingine, na ni kweli bila mapenzi hakuna ndoa ni kupotezeana muda tuu na kuishi kinafiki na mwisho wake ndio michepuko, kufirisika na magonjwa tuu, bora divorce utafute unayempenda au upige punyeto tuu mpaka ufe
 
Pole Sana

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Lakini kuna wanaume wakiona mwanamke mjuzi wanajua huyu kicheche ndo na wao hawatulii. Tena si nyie mnaolalamika siku hizi wanawake ni malaya mnawaacha ama??
 
Mimi binafsi najiingiza kwenye kitanzi hiki hiki huku najiona yani kitabia yupo vizur sana lakinib simuelew kabsaa mwenzangu na ananipenda sanaa. Na vile nilmkuta kajitunza but sina hisia nae kabsa namuonyesha kila dalili but yeye kangangana nwanzo mwisho.. lakini mimi nahisi nitakuja kumpenda mbeleni ni mtu mchapakaz na ana vision form iv leaver fulani mwenye akili za kawaida.. appearance ni wa kawaida but sina hisia nae kabsaa.. mfano sijawahi hata kumtumia hela ila za kwake hua natumia sana 2 na zawadi hua ananipa sana tu... naona nikomae tu labda badae nitakuja kujutia mana naeza kuja kukutana na vichaa tu nakaa tu kusubiria kama nikija kushindwa basi nitajikaza
 
Sawa mkuu bahati nzuri unajua nini ambacho huenda kikakujia mbele yako....Ila maadam umelijua Hilo basi utakuwa vile vile umejitayarisha kisaikolojia kudili nalo....kila la kheri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…