Baba " mwanangu upo tayari taratibu za ndoa ziendelee'' @Etugrul bey" ndio baba''

Nimeusoma uzi wako vyema huku natafakari na kuvaa uhusika wako ukijumlisha silika yetu sisi Wanaume. Inaonekana Mwanamke ndiyo aliomba talaka.

Kingine upendo hutengenezwa, uishi na Mwanamke kwa miaka 7 na uzae nae watoto wawili. Kisha mengine uliyo tuhadhia yana uongi mwingi kuliko ukweli. Yaani kwenye mizani hayapimiki na akilini hayaingii. Hapa naona kama unajifariji. Watoto wana nguvu sana na mengine kadhalika.

Umejinasibu na Uislamu, hakuna mwanamke mwenye akili timamu atakaye taka kuachika kisa unataka au umeoa mke mwingine. Ulitakiwa uoe na asingeondoka.

Kuna kumchukia mke au mume kuchukiwa na mke hii hali huwa inatokea, lakini hisia au kutokuwa na hisia na mkeo hili jambo dogo sana. Sababu maisha si hisia tu.

Niwie radhi kama nimetumia lugha kali au mfano wake, ila naona jambo kwangu haliingii akilini kabisa.
 
Hujawahi ishi na mtu humpendi afu king'ang'aniz wewe
 
Kuna kutokumpenda mtu na kutokuwa na hisia naye. Inabidi utofautishe haya.

Huyo mtoa mada huyo mwanamke alimpenda sema huko katikati yakatokea ya kutokea.

Napenda sana watu wakweli.
Rafiki em naomba nieleweshe utofauti
 
Jinga


Katika maisha ya mahusiano mwanaume anatakiwa kutafuta mwanamke ambaye Anampenda sana Huyo mwanaume kuliko huyo mwanaume anavyo mpenda huyo mwanamke, Ndio utakuwa salama

Yaani tena utaishia Kwa Amani na mahusiano yenu yatakuwa na furaha sana kinyume na hapo unajitafutia matatizo, Time will tell you
 
Hizi habari za hisia mbona sizielewi? Vidume mbona mnakamua Malaya kila siku ambao hamna hisia nao? Kuna wale mnawala kimasihara hisia hutoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…