Baba mzazi hataki binti yake aolewe

Hebu tuanza taratibu, je mzee ameoa?
 
Sio lazima Kila kitu amshirikishe Baba Yake, kwa umri wake si angehama akaishi kwake? Tuna complicate issues tu sometimes
Hao bado wana umri wa early 20s. Muda ni mwalimu mzuri.
 
Miaka 36 bado anasubiri hadi mzee wake (baba yake) atoe ruhusa ya kuolewa!!? Peleka kitumbua kwa mpenzi wake kichakatwe ,beba mimba na moja kwa moja jisogeze kwa mwenza wako muendelezo wa kuchakatana na kukuzia kiumbe wakati huo maisha yanasonga mbele.

Duniani hakuna jipya ujue ohoooo!
 
Sheria ya ndoa imebainisha kuwa vitu vitakavyo fanya ndoa isifungwe ni pamoja na wazazi au mzazi Kama hajalizia ndoa iyo kufungwa kwaio ili ndoa ifungwe ni lazima wazazi warizie kufungwa kwaio ndoa
Sheria ya wapi hii?
Au umetunga?

Kuna ndoa nyingi sana zinafungwa bila kuwepo wazazi...

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Tena sababu hiyo pengine ndiyo iliyosababisha Baba kuachana na Mkewe baada ya Mama kugundua hiyo tta
Soma vizuri mkuu,
Mama wa huyo Dada alishafariki,
Kwa hiyo mzee alioa mwanamke mwingine ambaye anaishi na mpaka Sasa.
 
Sheria ya wapi hii?
Au umetunga?

Kuna ndoa nyingi sana zinafungwa bila kuwepo wazazi...

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ninavyofahamu Mimi mkuu Baba wa binti akiwepo hai ndie anayetoa kibali kwamba mwanae ndo aoelewe. Na yeye ndio anayeoza, Kama kashafariki anachaguliwa mtoto wa kiume katika familia, mbali na hapo mnaenda kwa Baba mkubwa au Mdogo.
Sasa hao wanaofunga ndoa bila upande mmoja kutokuwepo , sijui wao maana ya kuoa wanaielewaje.
 
In short mzee ni mchawi.
Kamfunga binti yake na anamkula either binti anajua au hajui kuwa analiwa na baba yake.
Ningekuwa hapo ningemsaidia huyo binti
Mwisho wa siku binti atakuwa chizi
 
Sheria ya ndoa imebainisha kuwa vitu vitakavyo fanya ndoa isifungwe ni pamoja na wazazi au mzazi Kama hajalizia ndoa iyo kufungwa kwaio ili ndoa ifungwe ni lazima wazazi warizie kufungwa kwaio ndoa
Mimi nimefunga ndoa kwa DC Ilala, hakuna sehemu wameniuliza kuhusu mzazi.
Mashahidi 2 tu biashara imeisha.
 
In short mzee ni mchawi.
Kamfunfa binti yake na anamkula either binti anajua au hajui kuwa analiwa na baba yake.
Ningekua hapo ningemsaidia huyo binti
Mwisho wa siku binti atakuwa chizi
Ungemsaidiaje huyo binti? weka hapa huo msaada wako huenda ukamfikia huyo binti.
 
Sio lazima Kila kitu amshirikishe Baba Yake, kwa umri wake si angehama akaishi kwake? Tuna complicate issues tu sometimes
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…