fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
umeambiwa mzee costa nduguru anaitwaR.i.p mzee Mwegelo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeambiwa mzee costa nduguru anaitwaR.i.p mzee Mwegelo
mwaka gani watu walikua hawafi mkuuWimbi la vifo vya ghafla limerudi tena
Inawezekana upabde wa wajomba zake Jokate.kama ni mmwela ,ubini unakuwaga wa upande wa mamaKwa hiyo hili jina la Mwegelo ni la baba wa kufikia?
Joketi ni mngoniInawezekana upabde wa wajomba zake Jokate.kama ni mmwela ,ubini unakuwaga wa upande wa mama
Umeambiwa anaiwa urban costa nduguru we unasema mwegelo be serious manR.i.p mzee Mwegelo
MmatengoJoketi ni mngoni
JOKATE ni dada mmoja mrembo sanaPole DC Jokate kwa msiba.
Huyu mshua anatoa watoto vyombo sana, alikuwa na mwanae mwingine tulikuwa tunaishi nae kitaa alikuwa chuma balaa, akaja kuolewa na boya flaniRIP baba JoJo
Ila anafanana na mshua wake
Mmoja tulikuwa tunaishi nae kitaa alitumia surname ya NdunguruHuyu mzee watoto wake wote Wana surname tofauti nadhani hata Constantine Magavila ni mtoto wa huyu mzee
'aFrikan' question🤔Why jina ni Ndunguru na sio Mwegelo??
Nickname itumike hata kwenye ajira yake let us be serious.Bila shaka MWEGELO ni Nike Name
Hebu fanya utafiti ujiridhishe, Ila kwa utafiti wangu, hakuna kabila la namna hiyo Tanzania.
ispokua Watoto waliokanwa na Baba zao, yaani wa nje ya ndoa, ambao walikanwa na baba zao ndiyo hupewa ubini wa mama.
Ila kwa Baba anelea mwanawe ikiwa ndani ya ndoa, au nje ya ndoa, Baba akiitwa Julias akiza mtoto, akampa jina Fahamy, huyu mtoto ataitwa Fahamy Julius, hii ni kwa makabila yote Tanzania. hakuna atakae thibitisha hilo kwa kutaja kabila hapa.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Siyo mngoni ni mmatengoJoketi ni mngoni
wote ni wale waleSiyo mngoni ni mmatengo