Baba mzazi wa tunu shekhome amefariki dunia usiku huu hospital ya kairuki

Baba mzazi wa tunu shekhome amefariki dunia usiku huu hospital ya kairuki

Pole sana tunu wewe na dada mwajabu shekhome poleni sana . Mungu ni mja wa.wote
I niliahidi... Nipo pamoja nanyi
Sawa tunatambua una huzuni kubwa kutokana na huo msiba. Ukitulia utuambie sasa huyo Tunu Sekhome anafanya shughuli gani! anapatikana wapi! Ikiwezekana weka na picha yake, picha ya huyo marehemu baba yake, nk.
 
Pole sana tunu wewe na dada mwajabu shekhome poleni sana . Mungu ni mja wa.wote
I niliahidi... Nipo pamoja nanyi
tunu...Tunu
shekhome....Shekhome
mwajabu....Mwajabu.
Poleni familia yote kwa Msiba.
 
Tamaduni zingine zilishatambua binadamu haishi milele atakufa tu, kwa hiyo wala hawana wasiwasi
Ni ndugu wawili wa tatu wa familia moja wanazika mchezo umeisha
Sisi huku tutalia wiki nzima, watu watajaa hapo kutoa pole utadhani binadamu hawafi, halafu watataka na pilau kubwa uwapikie yaani ni tafrani tupu
 
Back
Top Bottom