Baba niruhusu nizae

naomba namba zake ba mkwe... ila asiwe na kamdomo wala Gubu
 
mikolo mileki mingi
 
Grahams ERoni Wazee wa hovyo mnaongezeka jukwaani🀣🀣🀣
Umefanya nitafute miwani yangu ya macho harakaharaka nikajua umenitumia Babu yako Salio la sikukuu 😜

Kuna wakati bora kuchukua uamuzi wa namna hiyo

Kwa maisha ya sasa, Vijana wengi wa miaka kati 23-36 wengi hawapo tayari Kwa majukumu ya kuwa na familia

Walio wengi ni MBA(married but available) ndiyo akina sisi na Mzee mwenzangu ERoni
 
Kama anafanya kazi hapo kwako anafanya nini. Mwambie aishi kwake ndio ataelewa. Vinginevyo tutakushangaa. Huko atajifunza maisha yalivyo. Hata hayo maombi si ya kawaida. NASISITIZA APANGE NYUMBA AISHI HUKO NA HUYO BWANA WAKE. PAMBAFU ZAKE. AMEKUCHOKA
 
Hiyo MBA nimeikubali mzee mwenzangu🀣🀣🀣
 


Kwaiyo umeamua kuzini hadi siku ya Mwisho ya MAISHA ya hapa duniani?


Na unasemaje unamfurahia MTOTO wakati huyo MTOTO sio wako 100% , hisa zako kwa mtoto wewe kama mama ni 50% na zilizobaki ni za Baba wa MTOTO Kwaiyo hakuna mwenye hati miliki ya MTOTO kati ya Baba na mama duniani


Huyo MTOTO kama alivyotoka wakati unamzaa NDIVYO atakavyozidi kutoka kwenda mbali na wewe kadri siku zinavyokwenda na itafika wakati hata kuingia chumbani kwake itabidi upige hodi 😁, kua makini Sana B'se Watoto wenye wazazi kama nyie huja kuwasababishia wazazi wao matatizo makubwa Sana kwa mitazamo ambayo mzazi ameijenga hasa hi inatokea kwa akina MAMA


MTOTO/Watoto Ndio Danger zone ya wazazi/mzazi, chunguza Dunia ya sasa utakuta wazazi wengi wamepigwa na stroke kwasababu ya Matendo ya Watoto wao Why? B'SE walicheza na mahali ilipo HATARI yao
 
haha mmoja ananitosha madam nishaitwa mama inatosha. napambana kumtengenezea huyu mmoja kesho yake.
Dadakidoti, ongeza mtoto wa pili mapema iwezekanavyo: iwe kupitia kwa huyo uliyezaa nae mtoto wa kwanza au pata Dume la Mbegu jingine kabla umri haujakutupa mkono!

Utakuja kuukumbuka ushauri wangu!
 
uwe unasoma vizuri mtoto yupo dodoma mie siishi nae yupo job kwake
 
Ndio ujue wanaume hawajali mambo ya elimu nankipato cha mwanamke.
Hapa ni tako titi na sura tuu. Kama huna watu wanappza haja zao wanasepa
 
Kha! Kwa hiyo mnawaombaga hao jamaa wakojolee ndani ama mnawakaba kabali
 


Ulifanya makosa kumkubali Mkuu NDOA haikimbiliwi ni jambo sensitive Sana, wangapi wameoa na kuolewa na hawakumaliza hata mwaka katika NDOA? Kwaiyo Yeye kuchelewa kuolewa sio tatizo ni MUNGU anamuepusha na matapeli kama hao wame za watu means kuna mtu SAHIHI kwake yupo ni swala la muda SAHIHI kufika tu na kila kitu kitakaa sawa


Right things happen For right peoples at right time and right place πŸ‘‰tengua lidhaa yako Mkuu kwa MTOTO wako ili umuokoe na kuzimu


NB: mazezi ya kuzimu tunaanza kuyafanya hapa hapa duniani, na mazoezi ya pepo tunaanza kuyafanya hapa hapa


Heaven is just a presence peace, and hell is just a lack of peace ✍️



Hakuna single mama mwenye AMANI πŸ“Œ
 
Kashindwa kuvumilia,anataka watoto ana 34 ana miaka michache mno ya kuzaa,otherwise hatazaa kabisa,nimemuelewa,ninemruhusu,sikuwa na njia nyingine
 
Simulizi yako ina uwalakini.Mtoto uliyemlea tangu akiwa na miaka mitatu(three) na anakuita baba huwezi kumuita mdada.Halafu neno "mdada" halipo kwenye kiswahili fasaha labda cha magumashi.Huyo unatakiwa umuite binti yako na kamwe si vinginevyo. Pili,wewe unaanzaje kujua mambo ya ndani ya binti yako hadi yahusuyo unyumba wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…