Baba niruhusu nizae

Baba niruhusu nizae

Simulizi yako ina uwalakini.Mtoto uliyemlea tangu akiwa na miaka mitatu(three) na anakuita baba huwezi kumuita mdada.Halafu neno "mdada" halipo kwenye kiswahili fasaha labda cha magumashi.Huyo unatakiwa umuite binti yako na kamwe si vinginevyo. Pili,wewe unaanzaje kujua mambo ya ndani ya binti yako hadi yahusuyo unyumba wake?
wewe unajua historia yangu,unajua utamaduni wetu,unaijua asili yangu? Kitu usichokijua ni usiku wa giza
 
Kashindwa kuvumilia,anataka watoto ana 34 ana miaka michache mno ya kuzaa,otherwise hatazaa kabisa,nimemuelewa,ninemruhusu,sikuwa na njia nyingine


Miaka 34 bado kijana kabisa huyo,


sarah mke wa Ibrahim Baba yetu wa Imani kwa ulimwengu wote na dini na madhehebu yote alizaa MTOTO akiwa na miaka 90, Yeye huyo ana miaka 34 Hofu ya kutokupata MTOTO imeanza kumuingia kweli?😁


Ndiyo tatizo la kukaa MBALI na UPENDO hivyo anakuwa affected na Time na mambo na space, UPENDO upo nje ya kila kitu na hauathiliwi na chochote na unajitocheleza kwa kila kitu na haja zote, mwenye UPENDO NDANI yake kamwe hawezi kuhisi au kuona amechelewa au amepungukiwa B'se UPENDO umekamilika, UPENDO ni mkamilifu hauna kasoro yoyote hivyo mtu anapoupa ruhusa ya kuchukua nafasi NDANI yake hukamilisha katika kila jambo na kamwe hawezi kuathiliwa na chochote
 
Tatizo ubinafsi unaofundishwa kanisani!

Kama yakobo ana wake wanne na akazaa taifa takatifu Toka kwao wewe mkristo was kigamboni usio myahudi unashupaza shingo kukataa mitara Ili iweje!!?

Wanaume wazuri ni sisi tulio na familia tayari na sio hao vijana ambao wanaogopa majukumu!

Olewa na mwanamme mwenye familia tayari awe anaingia na kutoka uitwe Kwa jina lake uheshimike mjini kuliko kuugua ukijiona superwoman!!!

Zindukeni bandugu!
 
Dadakidoti, ongeza mtoto wa pili mapema iwezekanavyo: iwe kupitia kwa huyo uliyezaa nae mtoto wa kwanza au pata Dume la Mbegu jingine kabla umri haujakutupa mkono!

Utakuja kuukumbuka ushauri wangu!
Utamsaidia kulea uyo wa pili? Uyo wa kwanza baba kamkimbia uyo wa pili azae na mwingine hvyo hvyo alaf mzigo uwe kwake. Huwa nachukia sana mtu anayeshauri wenzake waongeze watoto kama vle atasaidia kwenye kulea.
 
Back
Top Bottom