Baba niruhusu nizae

Baba niruhusu nizae

Kumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.
SIKU HUYO MTOTO AKIKUA NA KUJITAMBUA NDIO UTAJUA ULIFANYA KOSA KUBWA KUZAA HOVYOHOVYO.

UMEANZISHA UZAO WA KIZINZI NA WEWE KAMA HAKO KATOTO NI BINTI ATAKUWA MKUBWA NA ATAENDELEZA FATHERLESS GENERATION NA MTAKUWA THE LOST GENERATION!!!!
 
Soma uzi elewa mkuu. Hakai hapo kwa baba ake ndio maana alipigia simu kumwambia anataka azae
 
Mkuu mtoa uzi kwanza pile kwa hayo maswaibu japo ni mambo ya kawaida kwa jamii ya sasa. Kuna mambo nahisi hayapo sawa kwako na kwake pia, kama ni kweli basi akiyarebisha au mkiyarwbisha, basi ataolewa.

1. Inawezekana anatafuta mtu wako hadhi yake kulingana na elimu, kazi na kipato chake. Na hii ndio maana anaangukia kwa watu wenye familia kwa maana kuwa anapowaona for the first time anaona wa hadhi yake, wana maisha, wana kazi nzuri pengine wana push ndinga za maana. Naamini kabisa anatobgozwa na watu wengi ila nadhani atakua ana evaluyna kuona huyu hapana. Kama ndivyo basi aelewe kuwa, asilimia kubwa ya hao anaosema hapana, ndio waowaji ila hawajajipata tu. Aamini kuwa ipo siku nao watajipata watakua kama hao waume za watu wanaomvutia.

2. Kuna uwezekana upo nae karibu sanaa kiasi kwamba watu anaowapata wanapata mashaka juu ya ukaribu wenu. Ni kawaida mtoto wa kike kuwa karibu na mama na kumshiriksha mambo ya siri kama haya ila si kawaida kwa mtoto wa kike ku share mambo ya ndaani kama haya na baba yake, hii ni kwa mujibu wa mila zetu watu weusi. Sasa kama umemfanya sana kuwa mtoto wa baba, basi wanaume anaowapata huamininkabisa kuwa wakimuoa kuna external force itakua inashiriki kuendesha familia ambayo ni wewe baba yake. Wanaume hupenda kutawala kwenye familia zao na sio kuwa na mtu mwingine mwenye kuendesha kwa mfano wa rimont. Yaani kuna uwezekana kuna mambo huwa wanazungumza kama wapenzi halafu binti anasema ngoja nitaongea na baba, sio kitu kibaya ila ikizidi inaleta wasiwasi wa huko mbele itakuaje nikimuoa. Kama hilo lipo basi mzee wangu ni la kurekebisha tu na mambo yatakaa sawa.

Pole tena mkuu. Sema msiwe na hafu kiasi hicho. Wewe ukiwa hivi na hofu kubwa kiasi hiki nani atamwambia kuwa usiogope mambo yatakua sawa?
 
Sometimes kulia ni dawa, unaomdoa makandokando mengi kwenye moyo na kupona majeraha kadhaa.
Hii element ya kujikaza na kujidai kuvumilia magumu ndo inayotuondoa mapema sana duniani kwa stress, tunawaacha wake zetu wakitamuna na vibenten
Next time likikukuta jambo weka uanaume pembeni lia, by the time machozi yanafutika hilo jambo utakuwa umemalizana mazima
 
Back
Top Bottom